Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
We ngoja nitakustua😂Nani anatuvurugia my wetu 😂😂😂 tumfanye kidogo mpk aje na matipo 🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ngoja nitakustua😂Nani anatuvurugia my wetu 😂😂😂 tumfanye kidogo mpk aje na matipo 🤣🤣🤣
Aisee kumbe watu wamepita naked humu na haunistui 😟We ngoja nitakustua😂
Wamemwaga radhi😂...Aisee kumbe watu wamepita naked humu na haunistui 😟
Wadada wakareeeeWamemwaga radhi😂...
🤣🤣 jana notification zilikuwa zinapandiana. Nyingine zikuona jamani.Bwanaah achana na kuabort na ukimwi nilipewa nilisoma shots na kabla ya hizo nilishaletewagwa na ninazo mpaka leo kaongea yeye pm kwa mtu eti nataka kuweka thread sijui tumseme mwanaume ana ukimwi
[emoji1787][emoji1787]mimi huyu nimuwekee thread ya nini sasaa ngoja siku vinipande nitazipost
🤣🤣🤣🤣 Tuendelee tu bana. Hii anonymity ina drive crayzzMno aisee, ila huku unajichetua sana😂😂😂
OkEbu shangaaa jamani
Haya tumeshapingua ushosti,byeeeNitakuwa mwenyewe as always haina shida
Mkuu mod tunaomba wote wenye iPhone wapigwe banWale wa Selfika mnaohamishia mjadala huku nawaona 🙂
Mkuu mod tunaomba wote wenye iPhone wapigwe ban
Wanafanya wenye Infinix tuishi kama tupo kuzimu bwana,jf yetu sote[emoji16]
Wale wa Selfika mnaohamishia mjadala huku nawaona 🙂
Active mpana huyu 😂😂😒Active kumbe unafatilia [emoji16]
Wanyonge tumefurahi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Anne
Active mpana huyu [emoji23][emoji23][emoji19]