Mention someone without any reason just to disturb them

Mention someone without any reason just to disturb them

Huyo mdada me hua simkubali hata robo😂
Hata ile nyingine niliisikiza sababu ya sauti ya crush 🥰
Na ninayo kwa simu hadi leo😂
Sasa wifi haumkubali vipi mtu humjui
Mbona unaniletea michezo 😂😂😂

Ule wimbo crush wako alinogesha sana
Huo wa leo Darrasa katisha 🤣
 
Sasa wifi haumkubali vipi mtu humjui
Mbona unaniletea michezo 😂😂😂

Ule wimbo crush wako alinogesha sana
Huo wa leo Darrasa katisha 🤣
Namjua si namuonaga kwa tv😂

Darrasa? I love the guy, hapo nitaisikiliza. Nitajie jina tena nishasahau wifi yako nimezeeka🤣
 
Back
Top Bottom