Mention someone without any reason just to disturb them

Mention someone without any reason just to disturb them

Bado mkuu Ila naimalika day after day..

Ila sio poa Kuna muda nikiona watu wanatembea nawatamania the coming week nta enda ku attend clinic hospital kwa ajili ya kuangalia na kutoa plaster of Paris (P.O.P)

Mambo mengineo yapo powaaaa long time ago sikuoni jukwaani
Maisha na majukumu yananifanya niwe tight. Mwaka huu umeanza vizuri ila miezi hii mitatu imekuwa migumu sijawahi ona
 
Te amo tanto ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️. Fake P
 
Back
Top Bottom