Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha..yote hayo ni majibu sahihi ..kazi iendelee au wewe na yeye unaonajeKuna mtu anajulikana kama Fake P anadai Mimi na wewe tu mwili Mmoja,au tuwe mwili Mmoja Nini kama vipi?😁
Kazi kazi😅Hahahahaha..yote hayo ni majibu sahihi ..kazi iendelee au wewe na yeye unaonaje
Hahahahaha..sawa sawaKazi kazi😅
Karibu lunchKazi kazi😅
Oooh thank you rafilki,😍Karibu lunch
Nabarikiwa kusikia hili hakika...Nipo fresh rafiki yangu
Marahaba, haujambo?
Nioneshe mahali umetema madini😆Wewe na min -me nikitema madini huko jukwaani mnanicheka
Kwani naongea pumba?
Mnanichora😥Wala usijali tunakupenda tu .
Basi ndio maana unanicheka kumbe naongea pumbaNioneshe mahali umetema madini😆
Apana siwezi fanya hivyo 🙌Mnanichora😥
Basi ndio maana unanicheka kumbe naongea pumba
Hahahahaha..kwamba wewe unaona madini..wenzio wanaona pumba ..Hahahahaha..dahWewe na min -me nikitema madini huko jukwaani mnanicheka
Kwani naongea pumba?