Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Auntie nimekumiss Siku hizi umepotea sana 😊😊Aaaaawwww!!!!
Nimefurahi mno Swahiba😘
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Auntie nimekumiss Siku hizi umepotea sana 😊😊Aaaaawwww!!!!
Nimefurahi mno Swahiba😘
Umeamkaje SwahibaAhsante Swahiba....
Pole pia.
Hahahahaha ..kumbe kufanya hivi ni kupenda? Ok sikua najua aisee...hahahahaha kumbe ni kweli unaandikaga pumbaMkuu sijawahi kukuona ukipenda hivi!🤸
Hahahahaha....namsumbua tu km uzi unavyotaka...kesho nakusumbua wewe sasaNdio! Unamuwaza sana Joannah umeamka asubuhi yote hii umekimbilia kumuita umelala unamuota😎
Akuuuh! Mimi hata ukinisumbua utanisumbua siku 1 siku ya pili utajisahau ila joannah kutwa mara 3Hahahahaha....namsumbua tu km uzi unavyotaka...kesho nakusumbua wewe sasa
Hahahahaha..sasa wewe kumbe mchochezi ktk hili..ngoja aje mwenyewe mie simo...😂😂Akuuuh! Mimi hata ukinisumbua utanisumbua siku 1 siku ya pili utajisahau ila joannah kutwa mara 3
Mimi namsubiri aje nimwambie naanza kutengeneza kadi za michango🤸
Mkuu usiwe muoga! Yaani unanisakizia mimi ety nisubiri aje mwenyewe jwamba akija akisema ndio na wewe ndio, akisema hapanaa na wewe hapana!Hahahahaha..sasa wewe kumbe mchochezi ktk hili..ngoja aje mwenyewe mie simo...😂😂
Kadi za michango ya Nani?? Tapiga mtuAkuuuh! Mimi hata ukinisumbua utanisumbua siku 1 siku ya pili utajisahau ila joannah kutwa mara 3
Mimi namsubiri aje nimwambie naanza kutengeneza kadi za michango🤸
Hahahahaha....hili dongo limeniingia rafikiNdio! Unamuwaza sana Joannah umeamka asubuhi yote hii umekimbilia kumuita umelala unamuota😎
Wewe sio muoga hata kidogo tena upo smart sana kwa apa jf unaweza kuwa au kukaribiana na kiranga, kiufupi wewe ni kiranga wa kike.Haha huu ni ujasiri wa kwenye keyboard tu mdogo wangu usidanganyike hata mimi ni muoga sana basi tu, ni vile huku jf watu wanamdefine mtu kwa kuangalia muandiko wake ndio maana wengi wanadhani mimi kauzu, ila ninaofahamiana nao nje ya hapa wanajua mimi ni mtu wa aina gani
Hahahahahaha...we ni mchochezi ujueMkuu usiwe muoga! Yaani unanisakizia mimi ety nisubiri aje mwenyewe jwamba akija akisema ndio na wewe ndio, akisema hapanaa na wewe hapana!