Mention someone without any reason just to disturb them

Mkuu naona yule dume umempiga pasi ya kwapa🤣😂😁😁
Napiga pasi za kwapa hadi anaita Mods wananifungia kwenye uzi, i sielewi ni pasi tu, akizidiwa anabadili ID anajifanya kuita mods anafikiri hatuelewi.

Ana ile ID ya ku report akizidiwa anajifanya hapendi ugomvi yani ni kituko
 
Yule hayupo timamu Mkuu Mimi nime msweka ignore list afu eti anajiita muheshimiwa kumbe ni mtu uchwara tu 😂😁
 
Napiga pasi za kwapa hadi anaita Mods wananifungia kwenye uzi, i sielewi ni pasi tu, akizidiwa anabadili ID anajifanya kuita mods anafikiri hatuelewi.

Ana ile ID ya ku report akizidiwa anajifanya hapendi ugomvi yani ni kituko
Jana anasema edit kumbe kitu kipo sawa amenaswa anakimbilia kusema ni edit 😂😁😁
 
Sana ila Kuna watu wanapenda sana kuchafua Uzi😁🤣
Oya bro naona umelala umeamka na maumivu, Mimi sio mabakuli.
Huna haja ya kuumia kwa nilichokueleza, hakuna namna ambayo tungekaa inbox tukaanza kuteta watu, hiyo kazi huwa sifanyi. Ndio maana uliona ulipoanza kuteta na kuponda watu nilipotezea sikukujibu hizo msg. Acha hizo mambo

Ukifanya hivi hadharani sawa, hata mm nitakusupport Ila sio kama vile ulivyotaka tufanye. Karibu sana na relax
 
Kheeeeh mnafatana had inbox kuteta watu? Wanaume wa JF mnayawezaa!! Woiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
You don't want peace Mjukuu 😜 🙌
 
Niliona ulivyokuwa unakoleza moto hadi mods wakafunga Uzi wetu pendwa [emoji12][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babuu jamaniii hapanaa, tatizo hamuwaelekezi wajukuu wenu wengine ku mind buzzness zao, wao.kutwaa kufukunyua ya wenzao, waka kwaana huko, wameishia kuliwa vichwaaa.

Mie mtazamaji tyuuh!! Si unajua nimeshavukaa level za heka heka na njegekaaa.
 
Mara kadhaa huwa nawakumbusha hapa hapa jamvini kwamba mavi ya kale hayanuki...

Nilisoma sehemu kwamba ukitaka kumla Bata usimchunguze

Huyo Mpenzi aliyenaye sasa anaweza kuendelea kuwa naye bila kuulizia historia yake ya nyuma kwamba alitembea na nani hapa au kwingine.
 
Wee babuu kuwezaaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lazima wahojiane kwani, woiiiiiih
 
Back
Top Bottom