Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salama kakaKaka 😁😂
Una akili nyingi...Why unafanya hayo? Halafu kwenye ID yako nyingine ulinitukana. Sikuwa na mood ya kugombana hiyo siku nikapotezea. Kuwa na amani na moyo wako, achana na hayo Aunt
Wesi useme tu hii ni ID yako, haikusaidii chochote, kila mmoja humu anaelewa hii ni ID yako...🤔 I'd nyingine? Duuh la hasha umekosea sijawahi kukuvunjia heshima muandiko wangu hujaukariri tu
Umenifananisha labda! Ila basi napenda kutag mods
Mkuu naona yule dume umempiga pasi ya kwapa🤣😂😁😁Wesi useme tu hii ni ID yako, haikusaidii chochote, kika mmoja humu anaelewa hii ni ID yako...
Napiga pasi za kwapa hadi anaita Mods wananifungia kwenye uzi, i sielewi ni pasi tu, akizidiwa anabadili ID anajifanya kuita mods anafikiri hatuelewi.Mkuu naona yule dume umempiga pasi ya kwapa🤣😂😁😁
Yule hayupo timamu Mkuu Mimi nime msweka ignore list afu eti anajiita muheshimiwa kumbe ni mtu uchwara tu 😂😁Napiga pasi za kwapa hadi anaita Mods wananifungia kwenye uzi, i sielewi ni pasi tu, akizidiwa anabadili ID anajifanya kuita mods anafikiri hatuelewi.
Ana ile ID ya ku report akizidiwa anajifanya hapendi ugomvi yani ni kituko
Jana anasema edit kumbe kitu kipo sawa amenaswa anakimbilia kusema ni edit 😂😁😁Napiga pasi za kwapa hadi anaita Mods wananifungia kwenye uzi, i sielewi ni pasi tu, akizidiwa anabadili ID anajifanya kuita mods anafikiri hatuelewi.
Ana ile ID ya ku report akizidiwa anajifanya hapendi ugomvi yani ni kituko
Jamaa ana ID kama zote, mi siweki ignore list nataka awe akiniona nimeingia kwenye uzi anakimbia...Yule hayupo timamu Mkuu Mimi nime msweka ignore list afu eti anajiita muheshimiwa kumbe ni mtu uchwara tu 😂😁
Na inaonekana ni jobless yule mtu ambae yupo timamu hawezi kufanya. Vile eti anajipenda mwenyewe akiambiwa aselfike ataki kazi kuchafua Uzi tuJamaa ana ID kama zote, mi siweki ignore list nataka awe akiniona nimeingia kwenye uzi anakimbia...
Hamchoki, 🤣🤣🤣Sana ila Kuna watu wanapenda sana kuchafua Uzi😁🤣
Oya bro naona umelala umeamka na maumivu, Mimi sio mabakuli.Sana ila Kuna watu wanapenda sana kuchafua Uzi😁🤣
Kheeeeh mnafatana had inbox kuteta watu? Wanaume wa JF mnayawezaa!! Woiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Oya bro naona umelala umeamka na maumivu, Mimi sio mabakuli.
Huna haja ya kuumia kwa nilichokueleza, hakuna namna ambayo tungekaa inbox tukaanza kuteta watu, hiyo kazi huwa sifanyi. Ndio maana uliona ulipoanza kuteta na kuponda watu nilipotezea sikukujibu hizo msg. Acha hizo mambo
Ukifanya hivi hadharani sawa, hata mm nitakusupport Ila sio kama vile ulivyotaka tufanye. Karibu sana na relax
You don't want peace Mjukuu 😜 🙌Kheeeeh mnafatana had inbox kuteta watu? Wanaume wa JF mnayawezaa!! Woiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sitakii amanii kabisaa, hata mjukuu mkweo anajua.You don't want peace Mjukuu [emoji12] [emoji119]
Niliona ulivyokuwa unakoleza moto hadi mods wakafunga Uzi wetu pendwa 😜🙌[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sitakii amanii kabisaa, hata mjukuu mkweo anajua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babuu jamaniii hapanaa, tatizo hamuwaelekezi wajukuu wenu wengine ku mind buzzness zao, wao.kutwaa kufukunyua ya wenzao, waka kwaana huko, wameishia kuliwa vichwaaa.Niliona ulivyokuwa unakoleza moto hadi mods wakafunga Uzi wetu pendwa [emoji12][emoji119]
Mara kadhaa huwa nawakumbusha hapa hapa jamvini kwamba mavi ya kale hayanuki...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babuu jamaniii hapanaa, tatizo hamuwaelekezi wajukuu wenu wengine ku mind buzzness zao, wao.kutwaa kufukunyua ya wenzao, waka kwaana huko, wameishia kuliwa vichwaaa.
Mie mtazamaji tyuuh!! Si unajua nimeshavukaa level za heka heka na njegekaaa.
Wee babuu kuwezaaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mara kadhaa huwa nawakumbusha hapa hapa jamvini kwamba mavi ya kale hayanuki...
Nilisoma sehemu kwamba ukitaka kumla Bata usimchunguze
Huyo Mpenzi aliyenaye sasa anaweza kuendelea kuwa naye bila kuulizia historia yake ya nyuma kwamba alitembea na nani hapa au kwingine.