Mention someone without any reason just to disturb them

Mention someone without any reason just to disturb them

Wewe wa kutusema tulibubujikwa na machozi uzi wa analyse?
Weeeee! Nitambamiza na Mzinga
Sio wewe my ni mdau mmoja hivi
Hadi lini Nyie Wagalatia mtashikiana mapanga
Hapa ni nani maana tulibubujikwa machozi wengi sana mule tuliomba au Fake P
Huyu anaeneo lake hataki Amani ipatikane.
😁😂😂😂 Lipo ignore list kule limepowaaa
Hadi lini Nyie Wagalatia mtashikiana mapanga?
 
Back
Top Bottom