cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Mpe za Sabaha Muchacho, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ipi unatak my Wii
Sema hii ya Leo itakuwa mbichi [emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpe za Sabaha Muchacho, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ipi unatak my Wii
Sema hii ya Leo itakuwa mbichi [emoji1787][emoji1787]
Inaitwajee udugu na kaimbaa nanii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bwana kapata wazimu, kashindwa kuvumilia
Kwangu akatia timu, tiba nikampatia [emoji4]
Nikampa vitu adimu, kwako hajajionea
Amri akasalimu, na magoti kunipigia
Aaliyyah [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Iko kinyimbo pambe niliona Roma anakiimba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyimbo imekaa kiukorofi sana hiyo.
Yani amechukua mume wa mwenzie halafu anamvimbia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mfyuuu!! Smart girl wa nyokwee [emoji81][emoji81]
Labda smart watch kila mtu anajitazamia masaa km yanaenda aendelee na safari yake.!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakupenda pia Stephen, hela tutatafuta wote usijali mkuu🥰Nampenda sana financial services ila tu sina hela...
Wachaa...😋 Kumbe nilikuwa na wasiwasi wa bure tu...Nakupenda pia Stephen, hela tutatafuta wote usijali mkuu🥰
Ondoa wasiwasi kabisa, mahari yenyewe ukileta mbuzi tu tukanywa supu inatosha😄Wachaa...😋 Kumbe nilikuwa na wasiwasi wa bure tu...
Na sisi watu wa Yanga na supu ni damdam, ama kwa hakika kipele kimepata mkunaji...Ondoa wasiwasi kabisa, mahari yenyewe ukileta mbuzi tu tukanywa supu inatosha😄
Kumbe pia ni mwana Yanga mwenzangu, hata mahari umepunguziwa hautolipa chochote😄😄Na sisi watu wa Yanga na supu ni damdam, ama kwa hakika kipele kimepata mkunaji...
Jiandae kupokea washenga sasa...😋😀Kumbe pia ni mwana Yanga mwenzangu, hata mahari umepunguziwa hautolipa chochote😄😄
Nipigie basi nilipoteza tena simu dadaNilikuwaza jana ujue sema muda ukawa umekwenda. Lol.
Poa poa.
mtag H just disturb him