Mercedes Benz B-class

Mercedes Benz B-class

Mr simple M

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2020
Posts
2,202
Reaction score
4,653
Wakuu ebu njoo tuijadili hii gari ya mzungu upande wa ulaji wa mafuta,uimara na speed na comfortability yk ukiwa high speed kwa wanaoijua karibu
Screenshot_20210329-165356~2.jpg
 
Inaweka tick kwenye vibox vyote ila sijui kuhusu mafuta unafananisha na ipi?

Second gen, 2011 ndani tamuu.

800px-Mercedes-Benz_B180_W246_interior.jpg
 
Wakuu, kuna mtu ana live experience na hii gari? nataka kuibeba
 
Wakuu, kuna mtu ana live experience na hii gari? nataka kuibeba
Sio mtu wa magari ila jamaa yangu anamiliki hii kitu mwaka wa pili unaenda wa tatu na haijamsumbua wala nini.
 
Back
Top Bottom