Mr simple M
JF-Expert Member
- Sep 18, 2020
- 2,202
- 4,653
Wakuu ebu njoo tuijadili hii gari ya mzungu upande wa ulaji wa mafuta,uimara na speed na comfortability yk ukiwa high speed kwa wanaoijua karibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua unailinganisha na IST n the likes.Wakuu ebu njoo tuijadili hii gari ya mzungu upande wa ulaji wa mafuta,uimara na speed na comfortability yk ukiwa high speed kwa wanaoijua karibu View attachment 1737825
Ni kama ist ila upande wa mafuta kidogo ipo juu cc16....Najua unailinganisha na IST n the likes.
I'd recommend.......go for it
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Aisee dash board moja matata sanaaaa hiiInaweka tick kwenye vibox vyote ila sijui kuhusu mafuta unafananisha na ipi?
Second gen, 2011 ndani tamuu.
View attachment 1737882
Weeee, 3rd gen ya 2019 ndio nyoko. Sema naona bei itakua imesimama sana.Aisee dash board moja matata sanaaaa hii
Hiyoooo apa mkuu bei yak imechamk sio pw siwezi imuduWeeee, 3rd gen ya 2019 ndio nyoko. Sema naona bei itakua imesimama sana.
Chukua Benz hiyo achana na mambo ya cc1600Ni kama ist ila upande wa mafuta kidogo ipo juu cc16....
Sio mtu wa magari ila jamaa yangu anamiliki hii kitu mwaka wa pili unaenda wa tatu na haijamsumbua wala nini.Wakuu, kuna mtu ana live experience na hii gari? nataka kuibeba
shukran chiefSio mtu wa magari ila jamaa yangu anamiliki hii kitu mwaka wa pili unaenda wa tatu na haijamsumbua wala nini.