Car4Sale MERCEDES BENZ inauzwa kwa 12.5m

Car4Sale MERCEDES BENZ inauzwa kwa 12.5m

NAREI

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2017
Posts
1,730
Reaction score
1,660
Salaam,
BEI IMEPUNGUA SANA
Dada anashida na pesa anaiuza gari yake aina ya Mercedes Benz.
Gari haina tatizo lolote
Gari inapatikana mbezi Beach
bei ni 10M
Call: 0756 832833
N.b
MAELEZO YOTE YAPO KWENYE CARD HAPO CHINI.
IMG-20190103-WA0043.jpeg
IMG-20190103-WA0045.jpeg
IMG-20190103-WA0046.jpeg
IMG-20190103-WA0047.jpeg
IMG-20190103-WA0048.jpeg
IMG-20190103-WA0042.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka mtu kuamua kumiliki gari kama hiyo ni wazi kwamba amejipanga na yuko tayari kwa lolote.
Sasa nashangaa mnaokuja kufananisha na Vitz ya cc 990.
Kila mtu anamiliki gari kulingana na income status/welfare yake, kama wengi tuna uwezo wa kumiliki Vitz na PASSO tusitoe mapovu yasiyo na maana.

Kiongozi ,cc5000 ni nyingi sana yaan kana bugatti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua na nina fahamu kwamba kuna Benz ambayo unaweza kuweka injin ya Toyota Na ikapiga Mzigo bila watu kujua.

Bahati mbaya nimepoteza namba ya fundi wangu pale mtaa wa pili nyuma ya best bite, Namanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom