The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,412
- 20,685
Hizo CC ni kwere, kun mwanangu mmoja amevuta VW Touareg cc 4200, kama gari yake ya kwanza baada ya kupata hela ya ghafla, hata wiki mbili hazijaisha ameanza kukopa na kuomba wese ukimuita mahali lazima akuambie utachangia mafuta, leo katimba ofisini na uber