General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Vitoto vya mjini wanataka gari tu mkuu, haijalishi toyota, nissan, Vw au bmw.....Ila kwa wabongo hakuna kinachoshindikana ukimpata fundi mzuri anatoa hilo jini mla wese anakuwekea 1G-FE (1990cc) unasukuma Mercedes kwa bajeti ya CRESTA na unaokota vicheche wakijua wewe Don kumbe siri anaijua fundi gonga nyundo chini ya mwembe
Sent using Jamii Forums mobile app