http://r.tapatalk.com/byo?rid=77694
Ukizipata za 990cc vinaingia vi tano na chenji ya CC 16 unarudishiwa.4966cc= Majanga! Sawa na Vitz 3 na nusu
Hilo wese si la kitoto
Hahahaha4966cc= Majanga! Sawa na Vitz 3 na nusu.
* Hilo hupati mteja hadi kiama.
**Kudanga kumbe hela ya mafuta mzozo.
Hilo ni tractor la milango 5
Hahahaha sasa bei hamuioni hapo?Ukizipata za 990cc vinaingia vi tano na chenji ya CC 16 unarudishiwa.
Kiongozi ,cc5000 ni nyingi sana yaan kana bugattiMpaka mtu kuamua kumiliki gari kama hiyo ni wazi kwamba amejipanga na yuko tayari kwa lolote.
Sasa nashangaa mnaokuja kufananisha na Vitz ya cc 990.
Kila mtu anamiliki gari kulingana na income status/welfare yake, kama wengi tuna uwezo wa kumiliki Vitz na PASSO tusitoe mapovu yasiyo na maana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo aliyekua anamiliki si binadamu?
Dada amekwisha. Kwishnehi.Weka namba ya Dada tuwasiliane Nate moja kwa moja
Alikuwa na sponsor huyo!Kwahiyo aliyekua anamiliki si binadamu?
Au ushauri wako ni nin hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri wangu: ifungwe engine ya vitzKwahiyo aliyekua anamiliki si binadamu?
Au ushauri wako ni nin hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app