4966cc= Majanga! Sawa na Vitz 3 na nusu.
* Hilo hupati mteja hadi kiama.
**Kudanga kumbe hela ya mafuta mzozo.
Nimekutana na ya 5200cc (pichani)
Duu!! Ndo najua Leo,hii Ni kubwa kuliko hatagx yangu ina cc 4142Nimekutana na ya 5200cc (pichani)
Nimekutana na ya 5200cc (pichani)
Ila kwa wabongo hakuna kinachoshindikana ukimpata fundi mzuri anatoa hilo jini mla wese anakuwekea 1G-FE (1990cc) unasukuma Mercedes kwa bajeti ya CRESTA na unaokota vicheche wakijua wewe Don kumbe siri anaijua fundi gonga nyundo chini ya mwembeHivi vidude ni vi vampire kinyama.
5200cc bora vogue sasa.
Ila kwa wabongo hakuna kinachoshindikana ukimpata fundi mzuri anatoa hilo jini mla wese anakuwekea 1G-FE (1990cc) unasukuma Mercedes kwa bajeti ya CRESTA na unaokota vicheche wakijua wewe Don kumbe siri anaijua fundi gonga nyundo chini ya mwembe
Ila mkwere nae alitamba aiseeAh mkuu sio kwa kifua hicho 5200 ndio maana huwa naziona kwenye misafara tu??,na hii ni ya muda kidogo,sijui zile alizokuwa anatumia jk,naona zitakiwa na 6000kabisa[emoji2]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] aiseee4966cc= Majanga! Sawa na Vitz 3 na nusu.
* Hilo hupati mteja hadi kiama.
**Kudanga kumbe hela ya mafuta mzozo.
Sasa raha ya Benz inakuwa ni Bodi au ??Najua na nina fahamu kwamba kuna Benz ambayo unaweza kuweka injin ya Toyota Na ikapiga Mzigo bila watu kujua.
Bahati mbaya nimepoteza namba ya fundi wangu pale mtaa wa pili nyuma ya best bite, Namanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Last solution. Aidha engine imekorofisha au ulaji wa wese unakushinda.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ila kwa wabongo hakuna kinachoshindikana ukimpata fundi mzuri anatoa hilo jini mla wese anakuwekea 1G-FE (1990cc) unasukuma Mercedes kwa bajeti ya CRESTA na unaokota vicheche wakijua wewe Don kumbe siri anaijua fundi gonga nyundo chini ya mwembe