General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Vitoto vya mjini wanataka gari tu mkuu, haijalishi toyota, nissan, Vw au bmw.....Ila kwa wabongo hakuna kinachoshindikana ukimpata fundi mzuri anatoa hilo jini mla wese anakuwekea 1G-FE (1990cc) unasukuma Mercedes kwa bajeti ya CRESTA na unaokota vicheche wakijua wewe Don kumbe siri anaijua fundi gonga nyundo chini ya mwembe
Wabongo tunapenda show-off ila hela ya kuunga-unga
Imefika ngapi?
Kama alinunua harrier aliangalia na kipato chake, huwezi kununua Gari inayo cost about 30m halafu ushindwe kumudu suala la mafuta.
Otherwise utakua hauna principles za maisha uliyojipangia.
N.b unaishi na kufanya mambo kwa mihemko/kuangalia macho ya watu.
Sent using Jamii Forums mobile app