Car4Sale Mercedes Benz ipo sokoni

Car4Sale Mercedes Benz ipo sokoni

Ushauri iendeshewe wapi ? (for safety reasons) ?

Mtoto wa mwaka (1-10) si ni kama kumkabidhi nyundo karibu na TV ?

Au hapo kwenye mwaka mmoja pako vipi
 
For safety reasons

Inashauriwa iendeshwe maeneo ya nyumbani

Iendeshwe sehemu isiyo na maporomoko

Iendeshwe sehemu isiyokuwa na mabwawa,visima na vina virefu vya maji

Iendeshwe sehemu isiyokua na magari,na pikipiki nk

Na pia kuhusu umri huo wa mwaka mmoja ni salama kabisa kwa sababu gari haina speed ya kutisha na ina automatic brake pale accelerator ikiachiwa inasimama hapo hapo

Pia gari ina seatbelt kwa usalama zaidi
 
Thanks for erabolative answers by the way hivi kweli mtoto wa mwaka mmoja hata kukaa na miguu kufika kule chini kweli inawezekana au kiuhalisia ni miaka mitano mpaka labda uzito wa mtu ukizidi ili usifanye uharibifu
 
Hiyo issue ya mtoto wa mwaka mmoja miguu kufika chini ilizingatiwa na manufacturers wa hizi gari za watoto

Achilia mbali miguu kufika chini kwenye accelerator kuna watoto wengine hata ku control tu gari inawashinda kwa sababu wanakua bado wadogo hawana uelewa

Kwahyo hizi gari zinakuaga na function mbili

Remote control na manual control

Hapo kwenye Remote control mzazi anatumia Remote kuiendesha gari endapo mtoto atakua bado hajajua kuendesha mwenyewe

So mtoto anapanda tu kwenye gari ila mzazi ndo unatumia Remote kumuendesha mtoto

Baadae mtoto akishajua kuendesha ndo function ya manual itatumika ambapo mtoto atakua anaendesha mwenyewe na kupiga misele na ndinga lake
 
Distance ya remote
 
Back
Top Bottom