Kwitogelo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2023
- 310
- 442
Hyo sehem ndogo tu ya mazingira inanithibitishia hiloSababu ipi is iwe tz?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hyo sehem ndogo tu ya mazingira inanithibitishia hiloSababu ipi is iwe tz?
Point yako dhaifu umeshindwa kuiteteaHyo sehem ndogo tu ya mazingira inanithibitishia hilo
Kenya haobongo mafundi hawapo updated kabisa, wengi ni wamazoea, unakuta fundi ata kutumia YouTube ama device ya kuingia kutazama mapya yanayojiri hana
Sasa hawa ni mafundi au wanachungulia? 😀😀
Laptop na software si ishu , shida ipo kwenye usb connection dongles .Nguvu kidogo na akili nyingi zinahitajika hapo, laptop moja yenye software husika itafanya diagnosis haraka na kwa usahihi..
Wanachungulia engineSasa hawa ni mafundi au wanachungulia? 😀😀
😁😁😁Tuliwahi kulizunguka kama hivo audi moja miaka ya nyuma , kuna mwana chokoa chokoa sijui alikata waya gani aka loop!, chuma ikagoma kuwaka
Gari lilikuja gereji na shida ya altenator likaondoka linavutwa na breakdown.toka siku hiyo mjeruman namuheshimu sana kwenye wiring.