Mercedes-Benz itawaua watanzania asee

Mercedes-Benz itawaua watanzania asee

bongo mafundi hawapo updated kabisa, wengi ni wamazoea, unakuta fundi ata kutumia YouTube ama device ya kuingia kutazama mapya yanayojiri hana
 
Picha zingine
IMG_20230307_184423.jpg
 
Nguvu kidogo na akili nyingi zinahitajika hapo, laptop moja yenye software husika itafanya diagnosis haraka na kwa usahihi..
Laptop na software si ishu , shida ipo kwenye usb connection dongles .
 
Gari inatoka hapo gonjwa zaidi. Fundi Juma anasema Kuna kitu mzungu aliweka ni extra tu hakina kazi
 
Tuliwahi kulizunguka kama hivo audi moja miaka ya nyuma , kuna mwana chokoa chokoa sijui alikata waya gani aka loop!, chuma ikagoma kuwaka
Gari lilikuja gereji na shida ya altenator likaondoka linavutwa na breakdown.toka siku hiyo mjeruman namuheshimu sana kwenye wiring.
 
😁😁😁
 
Back
Top Bottom