Mercedes-Benz M139 engine: Engine ya 4 cylinders yenye nguvu zaidi kuwahi kutengenezwa duniani.

JituMirabaMinne

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2020
Posts
3,381
Reaction score
9,744
Kiukweli hapa Mercedes Benz walifanya kazi nzito. Na kweli wakaonesha umwamba wao kwamba wao ni akina nani. Hakuna engine ya 4 cylinder inayojaribu kuusogelea mziki wa hii engine hata kidogo tu.

Hii engine ndiyo ambayo imefungwa kwenye Mercedes AMG A45 S.

Hii engine ina 2.0L Twin Scroll turbo lakini inacheua 416HP. Yaani hata engine za 6 cylinder zilizo nyingi hazigusi huu mziki. 4 cylinders nyingi zinaishia around 300HP.

Hii engine ni level za V8 engines. Tena V8 zenye twin turbo, hebu imagine 3ur-fe ambayo inefungwa kwenye LC200 series ina 5.7L ila inatoa 381HP tu.

Najua wajapani wa JF wamefura kwa hasira sababu nimegusa LC200 🀣🀣🀣.

Ila nawakaribisha.

Cc: Extrovert

Picha kwa hisani ya Barabara za Autobahn.



Merceds AMG A45 S





Mercedes AMG E63
 
Yaani Benz wana AMG series

Audi wana S na RS series

VW wana R na R-line series

BMW wana M performance

Chuma yoyote kutoka kwenye hayo makundi manne ukikutana nayo road ni balaa.

Kwanza nyingi hapo visahani 280 mpaka 320.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wajapan wanajificha chini ya uvungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…