KndNo1
JF-Expert Member
- Oct 26, 2021
- 627
- 2,049
Sio mchezo aisee.. Barabara zao zinaruhusu kutema moto..Moto hatari sana huo.. Baada ya Mungu mbinguni, anafatia mzungu duniani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio mchezo aisee.. Barabara zao zinaruhusu kutema moto..Moto hatari sana huo.. Baada ya Mungu mbinguni, anafatia mzungu duniani
BMW ndio Mjerumani zaidi..!
VW R nahisi wanatoa mwaka huu au wameitoa tayari ina 4 cylinder 416HP+
Noma sana😂😂😂 Wajapan wanajificha chini ya uvungu
Kuna washakaji huko ujerumani wanavotest top speed za hizi gari they dont talk anythingSio mchezo aisee.. Barabara zao zinaruhusu kutema moto..
Sedan forever zinatusaidia sanaa hizi sie kwemye mambo yetu.. kiumbe kwanza anakutana na unyunyu matata a. k. a air fureshiSema R imetamba sana kwenye golf.
Ila Kwenye VW R zipo karibu kila model.
Kuna sedan yao hiyo VW Passat R36...
Japo Sedan VW zina body design mbovu ila kwenye hiyo R36 walitengeneza bodi.
Gari kali sana hiyo. Kwa we mpenzi wa Sedani na mwendo hii ingekufaa. ila bei imechangamka sana.
Hahaha gari yenyewe itajitambulisha..!Kuna washakaji huko ujerumani wanavotest top speed za hizi gari they dont talk anything
Wanakuonesha gari kwa nje kifuatacho ni wewe mwenyewe uisikilize gari inavyopelekewa moto.
Hahaha gari yenyewe itajitambulisha..!
Sema wenzetu wapo civilized zaidi.. Wakikuona upo moto wanakupisha fast lane upite..
Duuuh aisee hiyo Dar mpaka Mwanza..Hata hivo roads za Autobahn ujerumani zipo nyingi sana.
Imagine jamaa wana zaidi ya 13000Km za autobahn roads. Humo ukijisahau unaweza ukatembea mpaka gari ikawaka moto matairi.
13k siyo 1300Duuuh aisee hiyo Dar mpaka Mwanza..
Hatari hiyo.. Unamwaga oil na kubadilisha filter kabla hujamaliza ruti..!13k siyo 1300
BMW yaaah mbavaria huyo pure pure kabisaBMW ndio Mjerumani zaidi..!
JituMirabaMinne kwa nini unapima ubora wa engine kwa kutumia Horsepower badala ya kutumia Torque?
FundiKiukweli hapa Mercedes Benz walifanya kazi nzito. Na kweli wakaonesha umwamba wao kwamba wao ni akina nani. Hakuna engine ya 4 cylinder inayojaribu kuusogelea mziki wa hii engine hata kidogo tu.
Hii engine ndiyo ambayo imefungwa kwenye Mercedes AMG A45 S.
Hii engine ina 2.0L Twin Scroll turbo lakini inacheua 416HP. Yaani hata engine za 6 cylinder zilizo nyingi hazigusi huu mziki. 4 cylinders nyingi zinaishia around 300HP.
Hii engine ni level za V8 engines. Tena V8 zenye twin turbo, hebu imagine 3ur-fe ambayo inefungwa kwenye LC200 series ina 5.7L ila inatoa 381HP tu.
Najua wajapani wa JF wamefura kwa hasira sababu nimegusa LC200 🤣🤣🤣.
Ila nawakaribisha.
Cc: Extrovert
Picha kwa hisani ya Barabara za Autobahn.
View attachment 2054706
Merceds AMG A45 S
View attachment 2054708
Mercedes AMG E63
Fundi
Unachokosea unalinganisha vitu visivyolingana,
Mjerumani anatengeneza gari kwa ajili ya performance, mjapani anatengeneza gari kwa ajili ya service life.
The two cant be compared
Ukitaka kusema nanasi la msata ni tamu basi at least lingamisha na nanasi la bungu!
Wewe unasema nanasi la msata tamu kushinda chungwa la muheza !!! Unakosea.
Nilichomaanisha ni kwamba kwa nini umepima nguvu ya engine kwa kutumia Horsepower badala ya Torque?Kuhusu ubora sijajua mkuu. Mimi nimezungumzia tu power. Na sijajua wewe umetarget ubora wa nini.
Nilichomaanisha ni kwamba kwa nini umepima nguvu ya engine kwa kutumia Horsepower badala ya Torque?
Kila MTU anavutiwa Sana na wajerumani,ni hivyo Tu tupo na matoyota haya hatuna jinsi
Asikutishe nawasogezea huyu mnyama:Kwani kwenye hii vita tulikubaliana na hizi zipo?