Mercedes-Benz M139 engine: Engine ya 4 cylinders yenye nguvu zaidi kuwahi kutengenezwa duniani.

VW R nahisi wanatoa mwaka huu au wameitoa tayari ina 4 cylinder 416HP+

Sema R imetamba sana kwenye golf.

Ila Kwenye VW R zipo karibu kila model.

Kuna sedan yao hiyo VW Passat R36...

Japo Sedan VW zina body design mbovu ila kwenye hiyo R36 walitengeneza bodi.

Gari kali sana hiyo. Kwa we mpenzi wa Sedani na mwendo hii ingekufaa. ila bei imechangamka sana.
 
Sedan forever zinatusaidia sanaa hizi sie kwemye mambo yetu.. kiumbe kwanza anakutana na unyunyu matata a. k. a air fureshi
 
Kuna washakaji huko ujerumani wanavotest top speed za hizi gari they dont talk anything

Wanakuonesha gari kwa nje kifuatacho ni wewe mwenyewe uisikilize gari inavyopelekewa moto.
Hahaha gari yenyewe itajitambulisha..!
Sema wenzetu wapo civilized zaidi.. Wakikuona upo moto wanakupisha fast lane upite..
 
Hahaha gari yenyewe itajitambulisha..!
Sema wenzetu wapo civilized zaidi.. Wakikuona upo moto wanakupisha fast lane upite..

Hata hivo roads za Autobahn ujerumani zipo nyingi sana.

Imagine jamaa wana zaidi ya 13000Km za autobahn roads. Humo ukijisahau unaweza ukatembea mpaka gari ikawaka moto matairi.
 
Fundi
Unachokosea unalinganisha vitu visivyolingana,
Mjerumani anatengeneza gari kwa ajili ya performance, mjapani anatengeneza gari kwa ajili ya service life.
The two cant be compared
Ukitaka kusema nanasi la msata ni tamu basi at least lingamisha na nanasi la bungu!
Wewe unasema nanasi la msata tamu kushinda chungwa la muheza !!! Unakosea.
 

Hapa kuna sehemu tunapisha.

Kila kampuni huwa wanakuwa na gari ambazo ni performance line na wanakuwa na gari ambazo ni fuel Efficiency, n.k.

Mfano Benz wana AMG

BMW wana M performance

Audi wana R/R line

VW wana S/RS.

Kwa kampuni za japani sijajua kam wana mfumo formal kama ulivyo huo wa wazungu lakini kusema kwamba mjapani anatengeneza gari kwa ajili ya service life nakataa.

Kwamba hakuna gari za japan ambazo ni performance cars. Zile Nissan Nismo GTR na Nissan GTR ni nini?

Kuna Toyota Yaris na kuna Toyota GR Yaris hizo ni gari zinafanana Purpose?

Sijui labda kama Sijakuelewa.
 
Nilichomaanisha ni kwamba kwa nini umepima nguvu ya engine kwa kutumia Horsepower badala ya Torque?

Okay labda niseme hivi.

Torque ni uwezo wa gari kufanya kazi.

Wakati Horsepower ni kwa haraka kiasi gari itafanya kazi.

Purpose kwenye hiyo gari niliyoizungumza hapo ilikuwa ni mwendo. Labda ndio maana niliitaja hiyo engine kama most powerful kwa kuangalia HP.

Pia by default Torque haiwezi kuwa power.

Power ina SI unit ya W au Nm/s wakati torque ni Nm
 
Mimi ni Nani mpaka nibishane WA wajerumani? Haya magari Bana ukisoma sifa zake hasa kwenye upande WA engine na gear box huwa nakubali Sana.kuanzia Volkswagen, Mercedes-Benz,Audi na BMW hapa mjapan huwa anapata shida Sana tena sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…