Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
ziko wapi mkuu.. S Class unyama sana..hata uanze na S350Hizi ndio generations za Mercedes-Benz S Class kuanzia mwaka 1965 hadi 2020.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😆 bujibuji vipiiii???ziko wapi mkuu.. S Class unyama sana..hata uanze na S350
Huzioni kaka?ziko wapi mkuu.. S Class unyama sana..hata uanze na S350
Nimeziona sas mkuu.. hiyo ya 2020 ni moto sana.. kuna mmoja ya 2017 nayo ni moto wa kuotea mbali.. ila sema benz ni benz tu 😅😅Huzioni kaka?
Kaka, acha tuNimeziona sas mkuu.. hiyo ya 2020 ni moto sana.. kuna mmoja ya 2017 nayo ni moto wa kuotea mbali.. ila sema benz ni benz tu 😅😅
UIMARA UPI, FAFANUA TUELEWE KAKA MtoMsimbaziGari nyingi za zamani ni imara sana kuliko matoleo ya sasa the only difference is technology inayotumika kwenye magari but kwa uimara zilikua imara sana
naona black metallic
hiyo hatari tupu.. mjerumani akoseinaona black metallic
Kompressor wame replace kwenye gari ambazo ni latest.. inakuwa kama ni tech ya supercharge.. zinafunguka baraaanaielewa mercedes kompressor ❤️ hayo mengine hapana
I salute the interior design , exterior and all the creativity
mujerumani kwenye benz hajui kukoseaI salute the interior design , exterior and all the creativity
Imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyo kuonekanaKuona Siyo Kuchukua