Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #21
Duh.... No commentnaielewa mercedes kompressor ❤️ hayo mengine hapana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh.... No commentnaielewa mercedes kompressor ❤️ hayo mengine hapana
changamoto ya BMW ni za kulenga sana, kuna matoleo ni 🔥🔥🔥🔥.. na kuna matoleo ni ugonjwa wa moyoo.. kwenye hii benz alicheza hapo.. hana vimeo vingi kama BMWMshana Jr ni expatriate wa BMW, ana mengi ya kutuelezea kutoka Baveria RIVER Side
Ndio maana Mercedes ni Super Classic Inayo set standardschangamoto ya BMW ni za kulenga sana, kuna matoleo ni 🔥🔥🔥🔥.. na kuna matoleo ni ugonjwa wa moyoo.. kwenye hii benz alicheza hapo.. hana vimeo vingi kama BMW
W140 ndio ilikuwa hatari kuliko.Gari nyingi za zamani ni imara sana kuliko matoleo ya sasa the only difference is technology inayotumika kwenye magari but kwa uimara zilikua imara sana
hii upate ya 2015 kuja juu.. matusi yake ya ndani sio mchezo.. ni🔥🔥🔥
Hili chuma linanikumbusha ndinga la Fresh ya Shamba 1993 Mbeya.W140 ndio ilikuwa hatari kuliko.
Japo ilimuua Princess Diana.
Ilikuwa imara sana na yenye heshima.
Please share the interior designhii upate ya 2015 kuja juu.. matusi yake ya ndani sio mchezo.. ni🔥🔥🔥
Ina tech flani nzuri sana, nilisha iendesha imetulia sana ndani ..Please share the interior design
Hizi akili Usukumani zinaitwa masala kulangwaIna tech flani nzuri sana, nilisha iendesha imetulia sana ndani .. View attachment 2738970
Huwa mtu anaona haiwezekani, ni namba moja ya mtu ambae huwa namkepwa.. katika maisha yangu.. kuna mtu wangu wa karibu sana.. kavuta G63 AMG.. bado mie.. nimejipa miaka 2.5 😅😅😅 .. afe kipa afe beki lazima ni nese nese kwenye G wagon.. vita kali ila ushindi mkubwaa 😅😅Imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyo kuonekana
😅😅😅 umenikumbusha classmate wangu Godian MalangwaHizi akili Usukumani zinaitwa masala kulangwa
Inategemea na kipenda roho cha Muhusika kati ya gari ya kazi, usafiri au anasa.
naam old vintageMbona kama za zaman ndio nzuri..in terms of appearance..
Labda kwenye sifa za ndani ndani