Mercedes-Benz S Class generation 1965-2020

Mercedes-Benz S Class generation 1965-2020

Hili chuma linanikumbusha ndinga la Fresh ya Shamba 1993 Mbeya.

View attachment 2738967
File:1992_Mercedes-Benz_300_SE_(W_140)_sedan_(2010-07-19).jpg
Hii generation ndio alitamba nayo wa Lupaso 😀
 
Hizi ndio generations za Mercedes-Benz S Class kuanzia mwaka 1965 hadi 2020.

View attachment 2738809

Utoto wangu naikumbuka Mercedes-Benz S Class ya Bob Makani, Sea View Upanga. Ilikuwa model ya 1979 S 500.

Mbeya nikakutana Mercedes-Benz kali mpya ya mwaka huohuo 1993 ya tajiri Fresh ya Shamba, daily nilikuwa napita nje kwake ili niiangalie.

Halafu ninakufaje masikini wakàti kuanzia utotoni niko na high spirit ya utajiri?

Usiulize leo yangu, kesho ulizia jana yangu.
Kwahyo siku hizi unaishangaa benz ya tajiri gani?
 
Back
Top Bottom