Picha za ndani ziko wapi? Lazima iwe na screen kila seat free wife hata swimming inaweza kuwemo humo. [emoji1][emoji1][emoji23]Wakuu wapenda magari kwema...?
Wazee mnaionaje hii chuma aliyoleta Azam ,inafika pesa ngapi za madafu bongo? Na ina vitu gani spesho kulinganisha na bus zetu pendwa Golden Dragon,Youtong,Scania G7,Gemilang na zinginezo.View attachment 1961557View attachment 1961558
Picha za ndani ziko wapi? Lazima iwe na screen kila seat free wife hata swimming inaweza kuwemo humo. [emoji1][emoji1][emoji23]
Euro laki 3 before VAT na import duty.Hiyo gari baipungui milioni 600
Duh.. 300,000 x 2,800 = 840,000,000Euro laki 3 before VAT na import duty.
Hapo ongeza vat 18%,import duty sio 30% kweli?Duh.. 300,000 x 2,800 = 840,000,000
.Wale wachezaji ni wa kupiga mawe aiseee kwa matokeo wanayoleta uwanjani hayaendani kabisa na huduma wanazopata
Pumbavu sana wale
Mud anaingiaje hapa[emoji35][emoji35][emoji35]Sina boss kuna jamaa alitania eti hadi uwanja upo humo...aisee Mudi angeleta kama hii ingekua safi kweli.
Inakuhusu nini wewe pambana uwanjani mengine hayakuhusuTata za Mwamedi sijui ni bei gani
Naomba picha ya Scania la Yanga na picha za Tata sita za SimbaWakuu wapenda magari kwema...?
Wazee mnaionaje hii chuma aliyoleta Azam ,inafika pesa ngapi za madafu bongo? Na ina vitu gani spesho kulinganisha na bus zetu pendwa Golden Dragon,Youtong,Scania G7,Gemilang na zinginezo.View attachment 1961557View attachment 1961558
Mwamedi tajiri wa insta TU, janja yake inaishia kwenye Tata tuSina boss kuna jamaa alitania eti hadi uwanja upo humo...aisee Mudi angeleta kama hii ingekua safi kweli.
Picha za ndani ziko wapi? Lazima iwe na screen kila seat free wife hata swimming inaweza kuwemo humo. [emoji1][emoji1][emoji23]
Haa HaaTata za Mwamedi sijui ni bei gani
Haa HaaMwamedi tajiri wa insta TU, janja yake inaishia kwenye Tata tu