Mercedeze benz Irizar i6 ya Azam

Mercedeze benz Irizar i6 ya Azam

feyzal

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Posts
7,683
Reaction score
15,128
Wakuu wapenda magari kwema...?

Wazee mnaionaje hii chuma aliyoleta Azam ,inafika pesa ngapi za madafu bongo? Na ina vitu gani spesho kulinganisha na bus zetu pendwa Golden Dragon, Youtong, Scania G7, Gemilang na zinginezo.

20211003_122447.jpg
20211003_122450.jpg
 
Wakuu wapenda magari kwema...?

Wazee mnaionaje hii chuma aliyoleta Azam ,inafika pesa ngapi za madafu bongo? Na ina vitu gani spesho kulinganisha na bus zetu pendwa Golden Dragon,Youtong,Scania G7,Gemilang na zinginezo.View attachment 1961557View attachment 1961558
Picha za ndani ziko wapi? Lazima iwe na screen kila seat free wife hata swimming inaweza kuwemo humo. [emoji1][emoji1][emoji23]
 
Picha za ndani ziko wapi? Lazima iwe na screen kila seat free wife hata swimming inaweza kuwemo humo. [emoji1][emoji1][emoji23]

Bila kukosa uwanja wa mazoezi.

Ila itabidi walifanyie mafekechee wapige nondo za kutosha kuzuia mawe lisije kupopolewa na mashabiki wenye hasira.
 
Back
Top Bottom