Mere prediction about the future: Yajayo yanafurahisha, upo tayari?

 
Nimesoma comment za wachangiaji wengi kwenye huu uzi nimegundua wana JF wengi wana uwezo mdogo sana wa kupambanua mambo

Poleni "sikio la kufa halisikii dawa"
mimi sipo kati ya hao
kwasababu nimeshalitambua lengo lamleta Uzi
na lengo lipo kwenye aya ya mwisho kabisa
katika huu Uzi wake
habari nyingine zote zilikuwa nimbwembwe zakuteka akili nahisia za watu
 
Mimi nimeuquote Uzi wote unasemaje. haya lini utanipeleka mahakama ya dijitali?
 
Kuna mambo mengine unajipima akili yako ukiona haufiti unakaa pembeni nakuwa mtazamaji tu, nikupongeze kwa kujitathimi na kugundua upo kundi gani we pita humu na jichekeshe jichekeshe tu forever living unafananisha na forex tobaaa!
Oyaa tusipangiane pa kupost kabisa,,,nacomment navyotaka
Hujapenda kunya bogaa
 
Kitu ninachokipenda zaidi kuhusu Internet ni uwezo wake wa kutunza taarifa. Huu uzi utakaa hapa hata wajukuu zetu watauona, natamani pia kungekua tunatumia real Identity zetu ili hata watoto wetu waje waone baba zao walikua na akili gani miaka ya 2018. Naomba niwe na busara ya kua na akiba ya maneno, huu uzi siku si nyingi sana tutakuja kuufukua... I rest my case, Let nature prove me wrong!!

Niendelee na likitabu langu la kitapeli
 
Naona mnateteana wapigaji
 
Screen shout sio pesa mkuu
 
akili yangu iliwaza mbali hapo ulipoaandika WTF kwenye karatasi [emoji41] daah aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…