Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Alidesa kwenye googleKweli siku hazidanganyi, leo mnamsifia mtu aliyepewa kila jina baya😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alidesa kwenye googleKweli siku hazidanganyi, leo mnamsifia mtu aliyepewa kila jina baya😂😂😂
Lkn alipondwa sana bila sababuAlidesa kwenye google
Africa bado tupo nyuma ya wakati sana.Kitu ninachokipenda zaidi kuhusu Internet ni uwezo wake wa kutunza taarifa. Huu uzi utakaa hapa hata wajukuu zetu watauona, natamani pia kungekua tunatumia real Identity zetu ili hata watoto wetu waje waone baba zao walikua na akili gani miaka ya 2018. Naomba niwe na busara ya kua na akiba ya maneno, huu uzi siku si nyingi sana tutakuja kuufukua... I rest my case, Let nature prove me wrong!!
Naam1. Afrika (ukiacha nchi ya Afrika Kusini) bado mno. Kama mtu ananunua gari la 2001 leo hii 2021 halafu akiliingiza nchini analiita jipya ni tatizo.
2. Siasa za Afrika hazitaruhusu hizo teknolojia kwa hofu ya wapiga kura kukosa kazi. Mambo hayo yataishia huko huko Washington.
Africa bado tupo nyuma ya wakati sana.
Hadi kufikia 2030, Yote uliyoandika kwenye huu uzi yatakuwa yameanza kuonekana.
MsukumaHuyu mleta uzi ni kabila wazee anaejua?
Bado unaamin kwny mawazo hayo? Hii ni 2024 sasa akili mnemba on it....Inatia huruma sana kuona vijana wakigeuzwa misukule na mirija ya kunufaisha wengine..kwanini unawanyima vijana haki yao ya kutumia akili na nguvu zao za ujanani kutafuta mali na badala yake kuwaaminisha kuwa pesa zinapatikana kwa kuweka miguu mezani na bando la internet...hii ni DHAMBI KUBWA SANA!!
Kijana inabidi UTUBU..wenzetu wanahangaika kuzalisha tangible entrepreneurs wenye biashara zinazoekeweka huku vijana wamegeuzwa misukule na uyu dogo bila kujua..
Aisee TUBUNI iyo dhambi mapema..maana kuna misukule itazeeka inatafuta mali kwenye internet kuja kustuka uko 50's uwezi ata sukuma toroli. TUBUNI HII DHAMBI
Akili mnemba tyari kazi imekubali, ontario ana kitu sema ndo vile kuna sehemu anakwamaAfrica bado tupo nyuma ya wakati sana.
Hadi kufikia 2030, Yote uliyoandika kwenye huu uzi yatakuwa yameanza kuonekana.
Haya vijana acheni sijui kutafuta credit sijui ukasome HKL mara sijui ualimu, dunia inazidi kutanuka.
Nendeni Veta na vyuo vya Computer Science mkachukue maujuzi ya "IT" maana ndio kozi pekee iliyobaki inayoweza kukusukuma kwa siku za mbeleni ila uwe mjanja mjanja na wa kujiongeza.
Shukrani mkuu.