Mambo on fire now Blockchain na artificial intelligence are taking over the World and will change everything, ninachowaomba ndugu zangu nyumbani ili msiachwe nyuma someni haya mambo muyaelewe, miezi michache iliyopita nilitkuwa sehemu inaitwa Iowa niliona jinsi wanavyotumia technology kwenye kilimo nilichoona sikuamini ila kwa ufupi binadamu kwa sasa 99% hahitajiki kwenye kazi za kilimo, mzee aliniambia shamba lake la acre 1000 ana wafanyakazi wawili tuu kuanzia kutayarisha shamba, kupanda mpaka kuvuna, na niliona programmed tractors zinazolima, kupanda na zinazojiendesha zenyewe , drones zinazo scan land na kujua kinachotakiwa kufanywa, precision irrigation system inayojua wapi pa kuweka maji etc ,kingine ni blockchain maana nilikaa na mtaalam wa hayo mambo akawa ananielewesha yanavyofanya kazi especially in money transfers, loans, values, contracts etc alichoniambia traditional banking tuliyozoea soon na pesa zinazotolewa na serikali duniani zitakuwa obsolete na hakuna mtu au nchi zitakazokuwa zina control pesa kama sasa, kama una talent you will not need record label to make money maana blockchain will secure everything na hakuna mtu ataweza kukuibia au kutumia kazi yako blockchain will do everything for you you dont need youtube or wasafi to make money kwa ufupi...blockchain itabadilisha jinsi tunavyotumia na umiliki wa pesa duniani na sio pesa tuu...go educate yourself