Interested Observer
JF-Expert Member
- Mar 27, 2006
- 3,384
- 4,428
Jifunze ku-appreciate kazi za watu. Hata kupewa bure inabidi uombe kwa heshima; mwenye nacho ana haki ya kukukatalia. You have to pay for your needs otherwise somebody has to pay for you, hakuna kitu cha bure duniani.ONLY BECAUSE OF THAT??? Ha ha haaa, GT, kweli nimeamini kwamba unaenda mpaka chini ya mikanda kaka...... duh, sikutegemea... anyway amini uaminicho lakini ujue kwamba nasi wa tabaka la chini kuna mchango tunaweza kutoa, sometimes tupo better than you mukubwa..... u stoop too low for what i expected mukubwa....
- Haya niliyasema siku nyingi sana huko nyuma kwamba siasa sometimes iwe na biashara, maana hizo ndio zangu siku zote ninashukuru kwamba sasa mmenielewa, sasa uwe mwendo wa mdundo hot dataz na malipo ili kesho tuletewe zingine, lakini yale mambo unaleta dataz halafu unatukanwa na matusi juu, sasa yataisha kwa sababu ukitukana huku umeshalipa tayari ni vyema zaidi,
.....
Sasa kwa wale wateule 100 tuliotia ndani hii kitu dawa ni kufikishia wananchi wengi as much as we can, leo peke yake nimepasia wananchi karibu 150, viongozi tena wa juu 20, wa kati 30, na wananchi wa kawaida 100 ninategemea by mwisho wa wiki hii kuwafikia wananchi atleast 500 na the big picture ni kuwafikishia wananchi wengi vijijini yaani waalimu, manesi na madakitari, viongozi wa vijiji na hata machifu wetu, hakuna kulala pia natoa heshima za juu sana kwa gazeti la raia mwema I wish mngejua jinsi leo mlivyopigilia misumari hili jeneza la serikali na ile article, saafi sana! Mkulu Halisi ubarikiwe sana na Mungu wa mbinguni!
Respect.
Mungu Aibariki JF na A Luta Continua!
Field Marshall Es!
Kwa mfano, tunaweza kuanzisha a trust, ambayo pesa yake inatumika katika kuchangia vitu kama hivi. Hilo ni wazo lililonijia katika maandishi, na haitakuwa mbaya kuliangalia zaidi.
Mwanakijiji na Timu yako...Shukrani kwa kazi kubwa ya Report kuhusu Meremeta.Sasa hakuna swali, kila kitu kimekuwa wazi.katika Hitimisho lako page 54/55 Nimefurahi kuona Ushauri wako # 5 huko ndio kumkoma Nyani bila kumuonea aibu!Hongera sana Mkuu.
Wazee naona wivu kweli maana mpaka sasa sijaona kitu!!! nanusa harufu tu!!!
Edson your wrong my friend,mi nikuombe mwanakijiji, ukimaliza kugawa nakazote hizo kwa wale walionunua, baada ya siku mbili basi nakuomba uiweke riport nzima hapa jf. lengo langu ni zuri maana wengi walionunua nakala hizi ni UWT na baadhi ya wabunge,
kwa kuwa wewe lengo lako ni kuelimisha umma na tunahitaji mabadiliko nchi hii basi nakuomba iweke hapa.
asante
mh lkn we mwanakiji bwan na we sijui vp hv ilikua lazima uiuze au ndo kila kitu biashara sku hz kama.....kama ur hungry for money kiasi hicho inamaana someone can buy easily,,,,,dont be cheap
we cha msingi ungefanya ungeifanya kila mtu awe na acces na hicho kijarida lkn hv uko kibiashara zaidi