- Haya niliyasema siku nyingi sana huko nyuma kwamba siasa sometimes iwe na biashara, maana hizo ndio zangu siku zote ninashukuru kwamba sasa mmenielewa, sasa uwe mwendo wa mdundo hot dataz na malipo ili kesho tuletewe zingine, lakini yale mambo unaleta dataz halafu unatukanwa na matusi juu, sasa yataisha kwa sababu ukitukana huku umeshalipa tayari ni vyema zaidi,
.....
Sasa kwa wale wateule 100 tuliotia ndani hii kitu dawa ni kufikishia wananchi wengi as much as we can, leo peke yake nimepasia wananchi karibu 150, viongozi tena wa juu 20, wa kati 30, na wananchi wa kawaida 100 ninategemea by mwisho wa wiki hii kuwafikia wananchi atleast 500 na the big picture ni kuwafikishia wananchi wengi vijijini yaani waalimu, manesi na madakitari, viongozi wa vijiji na hata machifu wetu, hakuna kulala pia natoa heshima za juu sana kwa gazeti la raia mwema I wish mngejua jinsi leo mlivyopigilia misumari hili jeneza la serikali na ile article, saafi sana! Mkulu Halisi ubarikiwe sana na Mungu wa mbinguni!
Respect.
Mungu Aibariki JF na A Luta Continua!
Field Marshall Es!