Meremeta 00:00:00. EXTRA

Meremeta 00:00:00. EXTRA

Status
Not open for further replies.
ONLY BECAUSE OF THAT??? Ha ha haaa, GT, kweli nimeamini kwamba unaenda mpaka chini ya mikanda kaka...... duh, sikutegemea... anyway amini uaminicho lakini ujue kwamba nasi wa tabaka la chini kuna mchango tunaweza kutoa, sometimes tupo better than you mukubwa..... u stoop too low for what i expected mukubwa....
Jifunze ku-appreciate kazi za watu. Hata kupewa bure inabidi uombe kwa heshima; mwenye nacho ana haki ya kukukatalia. You have to pay for your needs otherwise somebody has to pay for you, hakuna kitu cha bure duniani.
 
- Haya niliyasema siku nyingi sana huko nyuma kwamba siasa sometimes iwe na biashara, maana hizo ndio zangu siku zote ninashukuru kwamba sasa mmenielewa, sasa uwe mwendo wa mdundo hot dataz na malipo ili kesho tuletewe zingine, lakini yale mambo unaleta dataz halafu unatukanwa na matusi juu, sasa yataisha kwa sababu ukitukana huku umeshalipa tayari ni vyema zaidi,

.....

Sasa kwa wale wateule 100 tuliotia ndani hii kitu dawa ni kufikishia wananchi wengi as much as we can, leo peke yake nimepasia wananchi karibu 150, viongozi tena wa juu 20, wa kati 30, na wananchi wa kawaida 100 ninategemea by mwisho wa wiki hii kuwafikia wananchi atleast 500 na the big picture ni kuwafikishia wananchi wengi vijijini yaani waalimu, manesi na madakitari, viongozi wa vijiji na hata machifu wetu, hakuna kulala pia natoa heshima za juu sana kwa gazeti la raia mwema I wish mngejua jinsi leo mlivyopigilia misumari hili jeneza la serikali na ile article, saafi sana! Mkulu Halisi ubarikiwe sana na Mungu wa mbinguni!

Respect.

Mungu Aibariki JF na A Luta Continua!

Field Marshall Es!

Duh FMES, Hapa nimeona ni-comment kidogo. Siasa na biashara ni field mbili tofauti, na ni muhimu zibaki hivi. Ukumbuke kila mtu kwa namna moja au nyingine anachangai katika ujenzi wa taifa na decision making process - hii ndio siasi. Na haki hii inalindwa hadi na katiba - aka: haki ya kupiga kura, na hata sheria nyingine kama za kodi, nk. Pia ni muhimu kukumbuka kila mtu ana haki ya ku-determine yeye atakuwa involved kiasi gani katika hiyo decision making process. Wengine kama MWJJ wameamua kuweka sauti zao kwa nguvu, na wengine wameamua kuchangia kwa kodi pekee. Lakini, tofauti hii isitumike katika ku-base nani anatakiwa kujua information zaidi au la. Biashara ni competition, na katika competition mwenye nguvu na uwezo zaidi ndo atakaye-prevail. Hivyo, tukiingiza biashara katika siasi, kwa namna moja au nyingine tutaua sauti za wote na kuwaacha wale wenye nguvu kuwa na sauti zaidi.
MWJJ alisema mapema kuwa lazima atafute njia ya ku-cover cost zake. Na ni kitu kinachoeleweka. Na kwa vile yeye ndo mtayarishaji wa ripoti hii, basi nadhani ana haki ya kudai malipo. Lakini papo hapo, tuendelee kuangalia hili litatufikisha wapi? kila mtu akianza kuuza information, kweli tutafika? Hatuwezi kuangalia means nyingine za kufanya hili? Kwa mfano, tunaweza kuanzisha a trust, ambayo pesa yake inatumika katika kuchangia vitu kama hivi. Hilo ni wazo lililonijia katika maandishi, na haitakuwa mbaya kuliangalia zaidi. Kumbuka, waandishi ndio chanzo cha wananchi katika kujua ukweli wa kinachoendelea au kufanywa na serikali. Napenda kutumia phrase ya 'tochi inayomulika katika giza nene la serikali'. Hivyo ni muhimu hii ikabaki kuwa free kwa kusudi la ku-benefit wananchi wote.

Hiyo paragraph ya chini umetenda jema sana. Ungenitumia na mimi...lol!

shukran
 
Tunawashukuru kwa mwitikio wenu lakini kwa hakika mmetupa kibarua kipya kabisa na kazi imekuwa ngumu katika hiyo ripoti. Kutokana na ongezeko kubwa la watu wapya ambao wangependa kupata ripoti hii hasa wale ambao ndio wamepata tu taarifa zake tumeamua kuongeza nakala 50 tu hadi hii Ijumaa.

Maelezo ni yale yale na utaratibu ni ule ule wa kupata.

Pamoja na hilo, jana nilizungumzia kwanini tumefanya hili tulilolifanya na tunasukumwa na kitu gani ili kusiwe na utata wowote.

Sikiliza:

juuyameremeta.MP3 - Bonyeza
 
Last edited:
Kazi nzuri wakuu, wakina sie tunaisubili ripoti kwenye youtube au torrent.! Mungu aendelee kuwatia nguvu na ujasiri muendelee kulitumikia taifa lenu!
 
si ilikuwa wote tupate pamoja vipi wengine wamepata na wengine bado au ............
 
Mwanakijiji na Timu yako...Shukrani kwa kazi kubwa ya Report kuhusu Meremeta.Sasa hakuna swali, kila kitu kimekuwa wazi.katika Hitimisho lako page 54/55 Nimefurahi kuona Ushauri wako # 5 huko ndio kumkoma Nyani bila kumuonea aibu!Hongera sana Mkuu.
 
na mimi niungane na wenzangu kuwapongeza MJJ na timu yake kwa kufanya kazi kubwa kama hiyo..
kubwa zaidi ni je nini kitaafia baada ya hapo?
anyone with influence should play a part. hata wewe unayesoma hii message unayo fursa ya kuelimisha wengine na kusambaza moto ulioanzishwa na MJJ.
 
Kwa mfano, tunaweza kuanzisha a trust, ambayo pesa yake inatumika katika kuchangia vitu kama hivi. Hilo ni wazo lililonijia katika maandishi, na haitakuwa mbaya kuliangalia zaidi.

Hii trust itaanzishwa kwa fedha za nani mwenye moyo mzuri wa kutuanzishia hiyo trust? I would like to explore this idea kwani sina furaha ya kuzuia ripoti muhimu kwa sababu ya michango; safari hii imetulazimu.
 
Mwanakijiji na Timu yako...Shukrani kwa kazi kubwa ya Report kuhusu Meremeta.Sasa hakuna swali, kila kitu kimekuwa wazi.katika Hitimisho lako page 54/55 Nimefurahi kuona Ushauri wako # 5 huko ndio kumkoma Nyani bila kumuonea aibu!Hongera sana Mkuu.

Wazee naona wivu kweli maana mpaka sasa sijaona kitu!!! nanusa harufu tu!!!
 
Wazee naona wivu kweli maana mpaka sasa sijaona kitu!!! nanusa harufu tu!!!

Ina maana kweli tuishie kunusa tu? mie nimenunua vocha za Tsh 30,000/= ili nimtumie Max, kufungua computer nakutana na...... 00, sasa najiuliza ndio kweli na mie ntaishia kula kwa namna ya kipare? najiuliza nini maana haswa ya kuandaa nakala 100 tu wakati chakula chenyewe kinanukia uriuri mpaka mtaa wa saba? Nahisi kuna wanajamii hatutendewi haki
 
mi nikuombe mwanakijiji, ukimaliza kugawa nakazote hizo kwa wale walionunua, baada ya siku mbili basi nakuomba uiweke riport nzima hapa jf. lengo langu ni zuri maana wengi walionunua nakala hizi ni UWT na baadhi ya wabunge,
kwa kuwa wewe lengo lako ni kuelimisha umma na tunahitaji mabadiliko nchi hii basi nakuomba iweke hapa.

asante
 
naomba kuwalaumu watu walioamua ripoti hii iuzwe kwa bei rahisi hivi.
 
mi nikuombe mwanakijiji, ukimaliza kugawa nakazote hizo kwa wale walionunua, baada ya siku mbili basi nakuomba uiweke riport nzima hapa jf. lengo langu ni zuri maana wengi walionunua nakala hizi ni UWT na baadhi ya wabunge,
kwa kuwa wewe lengo lako ni kuelimisha umma na tunahitaji mabadiliko nchi hii basi nakuomba iweke hapa.

asante
Edson your wrong my friend,
Mimi ninayo ripoti hii naisoma. Lakini mimi si uwt wala mbunge. Haya nadhani ni mawazo yako tu brother.
Hata hivyo sioni vibaya hata kama uwt wakinunua pia maana hii itawaweka wao pia kwenye nuru ya kujua kwamba kama walijua na wakadhani hatujui sasa tumejua kwa faida ya usalama si wa viongozi pekee bali wa taifa letu maana taifa si viongozi peke yao bali ni sisi watanzania wooooooooote including wao na baba, mama, mjomba, na shangazi zao.
Na kama walikuwa hawajui sasa na wajue kwamba wanajua kuwa na sisi tunajua kuwa Meremeta ni nini na tutaichukulia hatua inayohusika kwa kuwawajibisha wanaohusika hata kama itachukua miaka 10 mingine, lazima tutawauliza.
We only need God's time to make them answerable.
 
Hatugombei utajiri wao
You nailed it!!! Mtoto wa Bunduki!!!😀

Yaaaani mungu dem😀

The Message is clear, halafu waendeleze ungang'anizi wa ubepari wa kuhodhi na kudhibiti!

Hili dansi safi sana JF Ville!
 
mkuu mwanakijiji na timu yako, baada ya hii kazi nzuri tafadhali tuwekee sekta ya madini hadharani ikifuatiwa na maliasili, bandari, TRA, tume ya taifa ya uchaguzi, nchi wahisani wahujumu, mauaji ya zanzibar, uhujumu uchumi wa UWT... kazi hizi zote zifike mijini na vijijini mkuu... naamini kabisa maisha ni process, hapa tulipofikia kamwe hawataweza kuuzima huu moto wa mapinduzi ya kifikra! hawa wazee wamechoka akili na hao madog wao pia ukweli unawachoma! KUDOS MWKJJ na timu yako ...
 
baada ya hii post kuwa hapa naona guests wamezid sana na pia kuna majina mapya hapa. kazi ipo
 
MKJJ and the entire team,God Bless you! Nimepata report jana usiku,nimetumia masaa matatu kuisoma,huu ndio usalama wa Taifa tuliokuwa tunaambiwa? Kweli Viongozi wetu hata Chembe ya aibu na huruma hawana,am down and my mood is very low tangu nimeisoma hii report.Nasubiri ruhusa yenu,nianze kuisambaza kadri niwezavyo.INAUDHI NA INATIA HASIRA SANA!
 
mh lkn we mwanakiji bwan na we sijui vp hv ilikua lazima uiuze au ndo kila kitu biashara sku hz kama.....kama ur hungry for money kiasi hicho inamaana someone can buy easily,,,,,dont be cheap
we cha msingi ungefanya ungeifanya kila mtu awe na acces na hicho kijarida lkn hv uko kibiashara zaidi
 
mh lkn we mwanakiji bwan na we sijui vp hv ilikua lazima uiuze au ndo kila kitu biashara sku hz kama.....kama ur hungry for money kiasi hicho inamaana someone can buy easily,,,,,dont be cheap
we cha msingi ungefanya ungeifanya kila mtu awe na acces na hicho kijarida lkn hv uko kibiashara zaidi

Yeap, ngapi zimefanyika na watu wametoa gharama zao na hakuna lililofanyika na isitoshe nafikiri kuiuza ripoti hii nafikiri ni mechanism nzuri sana hasa kwa watanzania ndio maana akasema sio watu kujua ila kuyafanyia kazi
 
huenda ntaipata sasa maana niliumia sana kukosa zile za mwanzo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom