Meremeta 00:00:00. EXTRA

Status
Not open for further replies.
kama mtu una nia ya kweli ya kuitumia ripoti hii ktk masuala muhimu ya kupambana na uongozi wa kidhalimu tulio nao basi kuchangia gharama kidogo siyo issue.
 
Nyamizi tutashukuru sana ukituwekea hapa ili jumuia nzima ya Tanzania tuisome na kupata kile ambacho watawala wetu hawataki sisi tujue.
 
Nyamizi tutashukuru sana ukituwekea hapa ili jumuia nzima ya Tanzania tuisome na kupata kile ambacho watawala wetu hawataki sisi tujue.
 
Watu mna hamuu as if mkiipata mtafanya lolote-joking!!
Kudos kwa timu nzima iliyoshiriki kwenye huu mchakato,kwa kweli ripoti hii haistahili tu kusambazwa kama "email" bali ni hazina ambayo hata kizazi cha tatu na cha nne wanatakiwa kuiona na kuisoma
 
MJJ,
je kuna plan B ya kutengeneza nakala zaidi ili wale tuliozikosa tupate. tunataka kutuma hela tunakutana na maneno; number of copies remaining 00
tupe utaratibu!!
 
Huu ni wizi mtupu hakuna lolote hapa kama mna nia njema na umma wa watanzania toeni bure hiyo ripot hapa kwa forum mnapoomba fedha hivyo mnajionesha kuwa mu wafisadi kama wao tu no difference najua mtachukia mnataka sifa msizostahili.
 
Kuzoea vitu vya bure ni hatari sana!
 
Next time make it 50,000/= ili 20,000/= iwe donee kwa JF. Kama hili limewezekana, keep thinking big, watu serious always watakuwa nyuma yenu.
 
Huu ni wizi mtupu hakuna lolote hapa kama mna nia njema na umma wa watanzania toeni bure hiyo ripot hapa kwa forum mnapoomba fedha hivyo mnajionesha kuwa mu wafisadi kama wao tu no difference najua mtachukia mnataka sifa msizostahili.

Mheshmiwa; Mie naweza kukupa bure kabisa hiyo ripoti ila lugha yako sio nzuri. Hebu niambie hizo millioni tatu inaweza kuwa kweli thamani ya kazi ya watu karibia sita?, gharama za simu? gharama za kuthibitisha usajili wa makampuni? Usafiri?, gharama za internet?

Acha hizo, tumia lugha nzuri utaipata tu.

Wapiga kura bana?!?
 
Huu ni wizi mtupu hakuna lolote hapa kama mna nia njema na umma wa watanzania toeni bure hiyo ripot hapa kwa forum mnapoomba fedha hivyo mnajionesha kuwa mu wafisadi kama wao tu no difference najua mtachukia mnataka sifa msizostahili.

Nimejaribu kufuatilia post zako hapa jamvini nikagindua una matatizo.
Nakushauri nenda JF doctor.
 
mkuu mjj, naamini hii ripot yenu wameipata watu wengi sana-msafara wa mamba......
 
Kazi nzuri sana ndugu yangu, Mungu akubariki sana kwa kufanya Tanzania kuwa hivi na pia ni jambo nzuri sana
 
Next time make it 50,000/= ili 20,000/= iwe donee kwa JF. Kama hili limewezekana, keep thinking big, watu serious always watakuwa nyuma yenu.

Mojawapo ya mawazo mazuri sana niliyopata kuyasikia hapa.

Yap, upo sahihi, tunaweza kuiendesha JF sisi wenyewe tukiwa na moyo huu
 
mkuu nyamizi ... tafadhali nitumie kwenye pm yangu...
 
Hii trust itaanzishwa kwa fedha za nani mwenye moyo mzuri wa kutuanzishia hiyo trust? I would like to explore this idea kwani sina furaha ya kuzuia ripoti muhimu kwa sababu ya michango; safari hii imetulazimu.

Mh, trust sio lazima ianze na fedha nyingi. Hata pesa zitakazobaki kutokana na haya mauzo ya sasa zinaweza kutumika kufungua a trust. Trust inaweza hata kuwekeza hiyo hela kwa niaba yenu na kuvuna zaidi. Nyie kazi ni kutumia hayo mavuno yake kwa ajili ya kuendeleza shughuli zenu binafsi. Trust ni njia ya kulinda mali yako, ambayo kwa sasa inatumika kwa wingi na matajiri, lakini hata wewe binafsi unaweza kuanza na kidogo kidogo. Mkikaa waandishi wachache na mwanasheria aliyebobea katika hii area, natumaini mnaweza kutimiza lengo lenu. Uzuri wake, hakuna atakayeweza kuiba kati yenu. Ni njia ya nzuri ya kutunza utajiri wenu. Unaweza hata kuweka haki miliki zenu ndani ya hiyo trust, na ikawa inachuma kupitia hizo.
 
Nyamizi nitumie na mimi mtu wangu, Nitumie kwenye PM yangu hapa hapa JF.

Well, wengine tulikuwa tayari kulipia ila mazingira tu ndio yametubana, hepu fikiria mtu uko mpakani kwa Afaghanistan na Pakistan.....

Thanks
 
sambaza tu mh...hata mimi ningependa kuipata angalau kwenye PM yangu hapa hapa.
 
Huu ni wizi mtupu hakuna lolote hapa kama mna nia njema na umma wa watanzania toeni bure hiyo ripot hapa kwa forum mnapoomba fedha hivyo mnajionesha kuwa mu wafisadi kama wao tu no difference najua mtachukia mnataka sifa msizostahili.

PhD
Member
Join Date: Wed Jul 2009
Posts: 46
Thanks: 8
Thanked 16 Times in 8 Posts
Rep Power: 0

Mkuu unamatatizo gani????
 
Nyamizi, ni PM kwani ripoti naona sold out....
Tolu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…