Meremeta 00:00:00. EXTRA

Meremeta 00:00:00. EXTRA

Status
Not open for further replies.
kama mtu una nia ya kweli ya kuitumia ripoti hii ktk masuala muhimu ya kupambana na uongozi wa kidhalimu tulio nao basi kuchangia gharama kidogo siyo issue.
 
MKJJ and the entire team,God Bless you! Nimepata report jana usiku,nimetumia masaa matatu kuisoma,huu ndio usalama wa Taifa tuliokuwa tunaambiwa? Kweli Viongozi wetu hata Chembe ya aibu na huruma hawana,am down and my mood is very low tangu nimeisoma hii report.Nasubiri ruhusa yenu,nianze kuisambaza kadri niwezavyo.INAUDHI NA INATIA HASIRA SANA!
Nyamizi tutashukuru sana ukituwekea hapa ili jumuia nzima ya Tanzania tuisome na kupata kile ambacho watawala wetu hawataki sisi tujue.
 
Watu mna hamuu as if mkiipata mtafanya lolote-joking!!
Kudos kwa timu nzima iliyoshiriki kwenye huu mchakato,kwa kweli ripoti hii haistahili tu kusambazwa kama "email" bali ni hazina ambayo hata kizazi cha tatu na cha nne wanatakiwa kuiona na kuisoma
 
MJJ,
je kuna plan B ya kutengeneza nakala zaidi ili wale tuliozikosa tupate. tunataka kutuma hela tunakutana na maneno; number of copies remaining 00
tupe utaratibu!!
 
Huu ni wizi mtupu hakuna lolote hapa kama mna nia njema na umma wa watanzania toeni bure hiyo ripot hapa kwa forum mnapoomba fedha hivyo mnajionesha kuwa mu wafisadi kama wao tu no difference najua mtachukia mnataka sifa msizostahili.
 
Kuzoea vitu vya bure ni hatari sana!
 
Next time make it 50,000/= ili 20,000/= iwe donee kwa JF. Kama hili limewezekana, keep thinking big, watu serious always watakuwa nyuma yenu.
 
Huu ni wizi mtupu hakuna lolote hapa kama mna nia njema na umma wa watanzania toeni bure hiyo ripot hapa kwa forum mnapoomba fedha hivyo mnajionesha kuwa mu wafisadi kama wao tu no difference najua mtachukia mnataka sifa msizostahili.

Mheshmiwa; Mie naweza kukupa bure kabisa hiyo ripoti ila lugha yako sio nzuri. Hebu niambie hizo millioni tatu inaweza kuwa kweli thamani ya kazi ya watu karibia sita?, gharama za simu? gharama za kuthibitisha usajili wa makampuni? Usafiri?, gharama za internet?

Acha hizo, tumia lugha nzuri utaipata tu.

Wapiga kura bana?!?
 
Huu ni wizi mtupu hakuna lolote hapa kama mna nia njema na umma wa watanzania toeni bure hiyo ripot hapa kwa forum mnapoomba fedha hivyo mnajionesha kuwa mu wafisadi kama wao tu no difference najua mtachukia mnataka sifa msizostahili.

Nimejaribu kufuatilia post zako hapa jamvini nikagindua una matatizo.
Nakushauri nenda JF doctor.
 
edson your wrong my friend,
mimi ninayo ripoti hii naisoma. Lakini mimi si uwt wala mbunge. Haya nadhani ni mawazo yako tu brother.
Hata hivyo sioni vibaya hata kama uwt wakinunua pia maana hii itawaweka wao pia kwenye nuru ya kujua kwamba kama walijua na wakadhani hatujui sasa tumejua kwa faida ya usalama si wa viongozi pekee bali wa taifa letu maana taifa si viongozi peke yao bali ni sisi watanzania wooooooooote including wao na baba, mama, mjomba, na shangazi zao.
Na kama walikuwa hawajui sasa na wajue kwamba wanajua kuwa na sisi tunajua kuwa meremeta ni nini na tutaichukulia hatua inayohusika kwa kuwawajibisha wanaohusika hata kama itachukua miaka 10 mingine, lazima tutawauliza.
We only need god's time to make them answerable.

mkuu mjj, naamini hii ripot yenu wameipata watu wengi sana-msafara wa mamba......
 
Hongera sana MJJ kwa kazi mnayoendelea. Mimi binafsi nilikuwa na maswali machache:

Having only 100 copies!!
Sababu ya kutoa hii nakala special ni nini? Sio kutaka watu wajue hii ishu kwa kusudi la ku-expose zaidi. Katika maelezo yako umetoa mfano mzuri wa Ab Ghraib - lakini kumbuka zile ziliwekwa kwenye Youtube.
Pia hao watu 100 watakaopata nakala, utahakikishaje kuwa wataifanyia kazi utakayo wewe? Na Usalama wa Taifa ukijiandikisha na kuchukua zote, itakuwaje?
Kazi nzuri sana ndugu yangu, Mungu akubariki sana kwa kufanya Tanzania kuwa hivi na pia ni jambo nzuri sana
 
Next time make it 50,000/= ili 20,000/= iwe donee kwa JF. Kama hili limewezekana, keep thinking big, watu serious always watakuwa nyuma yenu.

Mojawapo ya mawazo mazuri sana niliyopata kuyasikia hapa.

Yap, upo sahihi, tunaweza kuiendesha JF sisi wenyewe tukiwa na moyo huu
 
MKJJ and the entire team,God Bless you! Nimepata report jana usiku,nimetumia masaa matatu kuisoma,huu ndio usalama wa Taifa tuliokuwa tunaambiwa? Kweli Viongozi wetu hata Chembe ya aibu na huruma hawana,am down and my mood is very low tangu nimeisoma hii report.Nasubiri ruhusa yenu,nianze kuisambaza kadri niwezavyo.INAUDHI NA INATIA HASIRA SANA!
mkuu nyamizi ... tafadhali nitumie kwenye pm yangu...
 
Hii trust itaanzishwa kwa fedha za nani mwenye moyo mzuri wa kutuanzishia hiyo trust? I would like to explore this idea kwani sina furaha ya kuzuia ripoti muhimu kwa sababu ya michango; safari hii imetulazimu.

Mh, trust sio lazima ianze na fedha nyingi. Hata pesa zitakazobaki kutokana na haya mauzo ya sasa zinaweza kutumika kufungua a trust. Trust inaweza hata kuwekeza hiyo hela kwa niaba yenu na kuvuna zaidi. Nyie kazi ni kutumia hayo mavuno yake kwa ajili ya kuendeleza shughuli zenu binafsi. Trust ni njia ya kulinda mali yako, ambayo kwa sasa inatumika kwa wingi na matajiri, lakini hata wewe binafsi unaweza kuanza na kidogo kidogo. Mkikaa waandishi wachache na mwanasheria aliyebobea katika hii area, natumaini mnaweza kutimiza lengo lenu. Uzuri wake, hakuna atakayeweza kuiba kati yenu. Ni njia ya nzuri ya kutunza utajiri wenu. Unaweza hata kuweka haki miliki zenu ndani ya hiyo trust, na ikawa inachuma kupitia hizo.
 
MKJJ and the entire team,God Bless you! Nimepata report jana usiku,nimetumia masaa matatu kuisoma,huu ndio usalama wa Taifa tuliokuwa tunaambiwa? Kweli Viongozi wetu hata Chembe ya aibu na huruma hawana,am down and my mood is very low tangu nimeisoma hii report.Nasubiri ruhusa yenu,nianze kuisambaza kadri niwezavyo.INAUDHI NA INATIA HASIRA SANA!

Nyamizi nitumie na mimi mtu wangu, Nitumie kwenye PM yangu hapa hapa JF.

Well, wengine tulikuwa tayari kulipia ila mazingira tu ndio yametubana, hepu fikiria mtu uko mpakani kwa Afaghanistan na Pakistan.....

Thanks
 
MKJJ and the entire team,God Bless you! Nimepata report jana usiku,nimetumia masaa matatu kuisoma,huu ndio usalama wa Taifa tuliokuwa tunaambiwa? Kweli Viongozi wetu hata Chembe ya aibu na huruma hawana,am down and my mood is very low tangu nimeisoma hii report.Nasubiri ruhusa yenu,nianze kuisambaza kadri niwezavyo.INAUDHI NA INATIA HASIRA SANA!

sambaza tu mh...hata mimi ningependa kuipata angalau kwenye PM yangu hapa hapa.
 
Huu ni wizi mtupu hakuna lolote hapa kama mna nia njema na umma wa watanzania toeni bure hiyo ripot hapa kwa forum mnapoomba fedha hivyo mnajionesha kuwa mu wafisadi kama wao tu no difference najua mtachukia mnataka sifa msizostahili.

PhD
Member
Join Date: Wed Jul 2009
Posts: 46
Thanks: 8
Thanked 16 Times in 8 Posts
Rep Power: 0

Mkuu unamatatizo gani????
 
MKJJ and the entire team,God Bless you! Nimepata report jana usiku,nimetumia masaa matatu kuisoma,huu ndio usalama wa Taifa tuliokuwa tunaambiwa? Kweli Viongozi wetu hata Chembe ya aibu na huruma hawana,am down and my mood is very low tangu nimeisoma hii report.Nasubiri ruhusa yenu,nianze kuisambaza kadri niwezavyo.INAUDHI NA INATIA HASIRA SANA!

Nyamizi, ni PM kwani ripoti naona sold out....
Tolu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom