Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyamizi tutashukuru sana ukituwekea hapa ili jumuia nzima ya Tanzania tuisome na kupata kile ambacho watawala wetu hawataki sisi tujue.MKJJ and the entire team,God Bless you! Nimepata report jana usiku,nimetumia masaa matatu kuisoma,huu ndio usalama wa Taifa tuliokuwa tunaambiwa? Kweli Viongozi wetu hata Chembe ya aibu na huruma hawana,am down and my mood is very low tangu nimeisoma hii report.Nasubiri ruhusa yenu,nianze kuisambaza kadri niwezavyo.INAUDHI NA INATIA HASIRA SANA!
MKJJ and the entire team,God Bless you! Nimepata report jana usiku,nimetumia masaa matatu kuisoma,huu ndio usalama wa Taifa tuliokuwa tunaambiwa? Kweli Viongozi wetu hata Chembe ya aibu na huruma hawana,am down and my mood is very low tangu nimeisoma hii report.Nasubiri ruhusa yenu,nianze kuisambaza kadri niwezavyo.INAUDHI NA INATIA HASIRA SANA!
Huu ni wizi mtupu hakuna lolote hapa kama mna nia njema na umma wa watanzania toeni bure hiyo ripot hapa kwa forum mnapoomba fedha hivyo mnajionesha kuwa mu wafisadi kama wao tu no difference najua mtachukia mnataka sifa msizostahili.

Kuzoea vitu vya bure ni hatari sana!
edson your wrong my friend,
mimi ninayo ripoti hii naisoma. Lakini mimi si uwt wala mbunge. Haya nadhani ni mawazo yako tu brother.
Hata hivyo sioni vibaya hata kama uwt wakinunua pia maana hii itawaweka wao pia kwenye nuru ya kujua kwamba kama walijua na wakadhani hatujui sasa tumejua kwa faida ya usalama si wa viongozi pekee bali wa taifa letu maana taifa si viongozi peke yao bali ni sisi watanzania wooooooooote including wao na baba, mama, mjomba, na shangazi zao.
Na kama walikuwa hawajui sasa na wajue kwamba wanajua kuwa na sisi tunajua kuwa meremeta ni nini na tutaichukulia hatua inayohusika kwa kuwawajibisha wanaohusika hata kama itachukua miaka 10 mingine, lazima tutawauliza.
We only need god's time to make them answerable.
Kazi nzuri sana ndugu yangu, Mungu akubariki sana kwa kufanya Tanzania kuwa hivi na pia ni jambo nzuri sanaHongera sana MJJ kwa kazi mnayoendelea. Mimi binafsi nilikuwa na maswali machache:
Having only 100 copies!!
Sababu ya kutoa hii nakala special ni nini? Sio kutaka watu wajue hii ishu kwa kusudi la ku-expose zaidi. Katika maelezo yako umetoa mfano mzuri wa Ab Ghraib - lakini kumbuka zile ziliwekwa kwenye Youtube.
Pia hao watu 100 watakaopata nakala, utahakikishaje kuwa wataifanyia kazi utakayo wewe? Na Usalama wa Taifa ukijiandikisha na kuchukua zote, itakuwaje?
Next time make it 50,000/= ili 20,000/= iwe donee kwa JF. Kama hili limewezekana, keep thinking big, watu serious always watakuwa nyuma yenu.
mkuu nyamizi ... tafadhali nitumie kwenye pm yangu...MKJJ and the entire team,God Bless you! Nimepata report jana usiku,nimetumia masaa matatu kuisoma,huu ndio usalama wa Taifa tuliokuwa tunaambiwa? Kweli Viongozi wetu hata Chembe ya aibu na huruma hawana,am down and my mood is very low tangu nimeisoma hii report.Nasubiri ruhusa yenu,nianze kuisambaza kadri niwezavyo.INAUDHI NA INATIA HASIRA SANA!
Hii trust itaanzishwa kwa fedha za nani mwenye moyo mzuri wa kutuanzishia hiyo trust? I would like to explore this idea kwani sina furaha ya kuzuia ripoti muhimu kwa sababu ya michango; safari hii imetulazimu.