Chapakazi
JF-Expert Member
- Apr 19, 2009
- 2,874
- 316
Nimemwambia MwanaKijiji kuna taarifa moja muhimu sana aipate na kuichambua na ku-update Taarifa hii. Hapo atakuwa amemaliza kazi.
Na hii nayo itauzwa? Au watagaiwa waliopata ya kwanza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimemwambia MwanaKijiji kuna taarifa moja muhimu sana aipate na kuichambua na ku-update Taarifa hii. Hapo atakuwa amemaliza kazi.
Mwanajamii,
To appreciate kazi hii soma kitabu kinaitwa The Arms Deal (mtunzi nimemsahau jina, ni cha Afrika Kusini kuhusu Zuma etc).
na mimi niungane na wenzangu kuwapongeza MJJ na timu yake kwa kufanya kazi kubwa kama hiyo..
kubwa zaidi ni je nini kitaafia baada ya hapo?
anyone with influence should play a part. hata wewe unayesoma hii message unayo fursa ya kuelimisha wengine na kusambaza moto ulioanzishwa na MJJ.
mkuu nyamizi ... tafadhali nitumie kwenye pm yangu...
Na hii nayo itauzwa? Au watagaiwa waliopata ya kwanza?
Na mimi nichukue nafasi hii kukupongeza Mkuu MJJ na timu yako kwa kazi kubwa mliyoifanya kukusanya data,kufanya analysis na kutoa picha ambayo haina ubishi kabisa.Kama ulivyotoa mapendekezo nafikiri tuwape muda wanaostahili kutendea kazi wafanye kazi yao.Wasipo wajibika basi tuwawajibishe tena kwa nguvu zote.
Baada ya kuisoma ripoti nimepandwa na hasira ghafla mwili wote ukalowa jasho.Kwa kweli tumeaibishwa sana na wale tuliowaweka madarakani kwa niaba yetu ili walinde rasilimali zetu.Wao ndio wamegeuka majambazi kwa kuuungana na mijizi ya nje tena yenye kutumia silaha.Tuna kila sababu ya kuwawajibisha na hakuna msaliemtume.
Aluta kontinua,mapambano yanaendelea mpaka uozo wote umetoka Serikalini.
huu ni wizi mtupu pesa na ripoti kwaajili ya maslahi ya Tiafa wapi na wapi? naona mnaondoa threads zangu kuhusu hili ila uzalendo wa kweli ni kuitoa free of churg,mafisadi wametukamua vya kutosha na nyie mnatukamua tena so tofauti yenu i wapi ... na walaaniwe wanafiki wote.
Nadhani ingelikuwa bora zaidi endapo kukawa na members wanaoweza kulipia vikachapishwa vipeperushi vikagawiwa mitaani watu wasome uhalisia wa hali halisi ili hatimaye tuweze kuchechemia maamuzi ya busara 2010. kwani nachelea kuwa isije ikawa shida ya jirani siye twaifanyia sherehe.
... mna magereza ya kutosha; wenyewe wanasema ukiona "kobe kainama".. na kuwa "kimya kingi".. endeleeni kushabikia hii ripoti lakini vichwa vyetu vitakapowekwa kwenye kamba zilizoning'inizwa na tukaambiwe tukane yaliyomo msiwe wa kwanza kututaka tukane ili tusalimike! Kwani "shoka limekwisha wekwa kwenye mpini"...
... mna magereza ya kutosha; wenyewe wanasema ukiona "kobe kainama".. na kuwa "kimya kingi".. endeleeni kushabikia hii ripoti lakini vichwa vyetu vitakapowekwa kwenye kamba zilizoning'inizwa na tukaambiwe tukane yaliyomo msiwe wa kwanza kututaka tukane ili tusalimike! Kwani "shoka limekwisha wekwa kwenye mpini"...
Cuppy!...ooops sorry cousin nilikuwa nina swali kidogo kuhusu utumaji ya fedha kupata hiyo nakala ya meremeta.Najua unahitaji paypal lakiniku tokana na privacy za watu wengine inakuwaje kama ukitumiwa money order or western union?.just curious cuzin.
cuz.. (nitakusemea kwa anti umeniita cuppy!); well.. kwa miaka zaidi ya mitatu tumeweza kutunza taarifa za wachangiaji wetu wote in strict and absolute confidence. Na hata sasa kuna watu wengi ambao wameweza kupata ripoti kwa kutumia CC (kwani hatuzioni namba za kadi zao).
Kwa anayetaka kutumia western union itabidi atume kwenda Tanzania kwa kupitia Max Mello na ada ya dola 9 juu!
Sorry Cuzin!...usinisemehe ok...
And thank you for the info cuzin that is all i needed....maana kuwa watu muhimu sana wanataka hiyo meremeta na wakaniuliza maswali kadhaa kuhusu confidentiality....na nikashindwa kujibu so nitawaambia watume western union kwa huyo Max...btw Max Melo ndiyo nani sasa? and why ada ya dola 9?....
Max Mello ni mshirika muhimu katika haya; hiyo ada ya 9.95 si ndiyo ya kutumia Western Union.. ?