Meremeta Report: Released to the Public (Revised & Free!)

Meremeta Report: Released to the Public (Revised & Free!)

Great job trying to figure out this shenanigan Mister Kishoka! The above scenario sounds quite convincing and I would say even plausible.

And if you are searching for answers to the two questions you've posed in your posting, then you need look no further than the sentence right next to your second question, namely the generals at JWTZ ate up everything!!

Tanzanians don't and never ever will have the professional expertise to run a capital intensive, and not least organizationally and technologically demanding project of the magnitude and size as this projected gold mine. So basically they fucked up everything and eventually the generals fleeced the company.

It is interesting to see how we have at least 15 pages talking about Dr. Balali's health and tuhuma za Ulaji BOT, his green card status and all other issues.

The truth about BOT money is that to justify expenses, someone has been forced to cook books to cover up the "necessary" expenses that were result of primary shareholders of Meremeta, Tangold and Mwananchi Green failing to produce an ounce of any product (dhahabu, mchanga) on this whole scheme!

Balali will be accountable for allowing Serikali to bulldoze him to cook books to cover up covert operations of Jeshi and CCM who were the main benefactors of all this money claimed Debt Services and Minara ya Benki!

Nendeni Ulinzi, Hazina na Madini! has anyone ever wonder why viongozi wa Serikali are now listed board of directors on Meremeta and Tangold? it is not due to their personam ambitions to be investors like Mkapa and Yona on Kiwira, but it is due to their official capacities in tyhe government.

Kufilisika kwa Meremeta na Tangold si makosa ya SA waliotoa mtaji, bali ni hao majemedari wetu walipewa dhamana na ardhi kule Buhemba!
 
Mkono atuhumu kampuni ya Meremeta kuchota mabilioni BoT.
Ramadhan Semtawa Dar na Beldina Nyakeke, Musoma

MBUNGE wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono ameituhumu Kampuni ya Meremeta kuwa ni ya kitapeli na kwamba ilijichotea mabilioni ya shilingi kwa mgongo wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwa madai ya kununua dhahabu katika Mgodi wa Buhemba (BGM).

Mkono alitoa madai hayo wakati akitoa maoni yake kwenye Kamati ya Kuchunguza Mikataba ya Madini iliyoundwa na Rais Jakaya Kikwete, mwishoni mwa mwaka na kuwa chini ya uwenyekiti wa Jaji Paul Bomani.

Akitoa maoni yake, alipendekeza kuwa mikataba yote ya madini nchini ifumuliwe upya ili iwanufaishe Watanzania wote, kuliko hivi sasa ambapo mapato ya madini yanaishia mikononi mwa watu wachache.

Alifafanua kwamba, Kampuni ya Meremeta ilichota fedha kwa ajili ya kununua dhahabu katika mgodi wa Buhemba, lakini kila ilipofikisha mzigo Afrika Kusini, ilidai ya kuwa imeibiwa.

Aliitaka Mkono kamati hiyo kwenda Afrika Kusini kuchunguza ili kupata ukweli kama dhahabu hiyo iliibwa.

Alisema kiasia cha gawaio cha Sh 250 milioni kwa mwaka kutoka kwa baadhi ya makampuni, ni kidogo kwani hakiwanufaishi Watanzania walio wengi iliinganishwa na faida wanayopata wawekezaji wa kwenye sekta hiyo.

Mbunge huyo alifafanua kwamba, dhana ya 'Maisha bora kwa kila Mtanzania' imekuwa ni ndoto kwa wakazi wa Kata ya Buhemba kutokana na kuzorota kwa huduma za jamii kulikosababishwa na mgodi huo.

Kwa upande wao, wananchi wengine waliohojiwa walisema mgodi huo unamilikiwa na vigogo ambao ni watuhumiwa wa ufisadi katika Serikali ya Awamu ya Tatu na iliyopo madarakani, tofauti na inavyoelezwa kwamba unamilikiwa na serikali.

Wakazi wa Kata ya Buhemba walisema hayo wakati wakitoa maoni yao kwa kamati hiyo ambayo ujumbe wake uliongozwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto kabwe.

Walisema kutokana na mgodi huo kumilikiwa na mafisadi kwa maslahi yao binafsi, hali za wakazi wa vijiji vinavyozunguka mgodi huo zinazidi kuwa duni kufuatia huduma muhimu za kijamii kukosekana katika kata hiyo.

Walifafanua kuwa huduma mbalimbali za kijamii zilizokuwa zikipatikana katika vijiji hivyo kabla ya kuwepo kwa mgodi huo, hivi sasa hazipo baada ya kuvunjwa na kuharibiwa kabisa na uongozi wa mgodi.

Huduma hizo ni pamoja na maji, elimu, barabara na afya ambazo kwa pamoja zilibomolewa na mgodi kwa maelezo kuwa wangepatiwa huduma bora zadi ya zilizokuwepo awali.

"Awali tulikuwa na vyanzo tisa vya maji vya asili, lakini mgodi ulipokuja uliviharibu vyote kwa vile vilikuwa ndani ya eneo la uchimbaji," alisema mkazi wa kijiji cha Biatika, Simon Chacha na kuongeza:

"Zahanati yetu tuliyokuwa tukiitegemea kwa ajili ya huduma za kiafya hasa kwa wajawazito, pia ilivunjwa kwa ahadi ya kujengewa nyingine ya kisasa, lakini tuliambulia ramani tu."

Naye Mchungaji wa Kanisa Anglikana Buhemba, Samwel Nyakarungu alisema:, "Tumefanyiwa hujuma kwani tunasikia kwamba hata viongozi wetu wakuu wa Wilaya ya Musoma na mkoani Mara, wana maslahi kwenye mgodini huo, hivyo katika suala hili tunaamini kwamba hawatweza kututatua kero zetu."

Mchungaji huyo aliendelea kusema: "Hii hali imechangia kwa kiasi kikubwa wakazi wa Kata ya Buhemba kuendelea kutumnia maji ya sumu kutoka kwenye mashimo yaliyokuwa yakitumika kuchimba dhahabu".

Alisema wananchi wa Kata hiyo wanaishi katika lindi la umasikini ktuokana na kutokuwa na shughuli za kufanya, kwa ajili ya kujiletea maendeleo kufuatia ardhi waliyokuwa wakiitegemea kwa ajili ya kilimo kuchukuliwa na mgodi.

Mchungaji huyo alifafanua kuwa wakati hali ikiwa ni hivyo bado hakuna mrahaba unaotolewa na uongozi wa mgodi huo kwa ajili ya kuendeleza miradi mbalimbali ya kimaendeleo katika kata hiyo.

Wananchi waliitaka Kamati hiyo kuwahoji viongozi hao wa wilaya na mkoa juu ya mmiliki halisi wa mgodi huo ambao sasa umefungwa. Mgodi huo ulianza uzalishaji mwaka 2002 na kufungwa Januari, mwaka huu.

Kampuni ya Meremeta imejaa utata kutokana na kuelezwa kwamba ni ya serikalini, lakini huku nafasi ya serikali ikwa haijulikani.

Kampuni ya Meremeta imehusishwa na aliyekuwa Gavana wa BoT Daud Ballali, ambaye mkewe Anna Muganda na vigogo mbalimbali wa serikali iliyopo na iliyopita akiwemo Andrew Chenge.

Kamati ya Madini iliundwa na Rais Kikwete mapema mwishoni mwaka uliopita, kama moja ya hatua za kuhakikisha madini yanayochimbwa yananufaisha nchi na watu wake.

Source: Mwananchi
 
Yeye MKONO kama mwansheria wa BOT alifanya nini kuzuia huo wizi?
 
Although he may be categorised as a "fisadi" , Mkono is slightly different from the other "Mafisadi" What differenciates him is the large sums of money he gives back to his community and the supervision he provides to make sure that it is put to good use.

An extra ordinary example is the number of very modern schools (both secondary & primary) that he coordinated to be built in his constituency. These are schools that were built or are being built by his own personal initiative (He does fund raising, provides supervision of the projects, and most significantly uses some of the money that he is alleged to have stolen to fund the projects) Click on the link below to see for yourself. If we cant get rid of "Mafisadi", then we should at least encourage them to invest their alleged ill gotten goods into their communities, instead of stashing it in some secret bank account overseas, or buy property in Dubai and London.

They can learn from Mkono; spend that money right here at home and that way it will have a multiplying effect creating Jobs, small businesses, real estate etc reaching and touching pretty much every mwananchi. In the end, everyone will benefit and no one will complain that much.
 
hii inanikumbusha ngoma ya mdundiko.. ikipita jirani yako na wengine wanacheza na kuona wamejawa na furaha huku wakiimba "ooh madida"... na wewe nyanyuka dandia!!! Sasa ukijikuta uko Kipunguni toka Mwenge... usiniulize..
 
Although he may be categorised as a "fisadi" , Mkono is slightly different from the other "Mafisadi" What differenciates him is the large sums of money he gives back to his community and the supervision he provides to make sure that it is put to good use.

An extra ordinary example is the number of very modern schools (both secondary & primary) that he coordinated to be built in his constituency. These are schools that were built or are being built by his own personal initiative (He does fund raising, provides supervision of the projects, and most significantly uses some of the money that he is alleged to have stolen to fund the projects) Click on the link below to see for yourself.If we cant get rid of "Mafisadi", then we should at least encourage them to invest their alleged ill gotten goods into their communities, instead of stashing it in some secret bank account overseas, or buy property in Dubai and London.They can learn from Mkono; spend that money right here at home and that way it will have a multiplying effect creating Jobs, small businesses, real estate etc reaching and touching pretty much every mwananchi. In the end, everyone will benefit and no one will complain that much.


http://www.musomarural.org

Meremeta ni ya Mkapa nma akina Mkono leo kuanza kujitoa ina maana sasa kwamba hata kwenye benki ajitoe amwache Mkapa mwenyewe humo ? Wameharibu bwawa la maji la Mwalimu Nyerere Mkapa na kiburi chake .Laana inawarudia sasa .
 
Although he may be categorised as a "fisadi" , Mkono is slightly different from the other "Mafisadi" What differenciates him is the large sums of money he gives back to his community and the supervision he provides to make sure that it is put to good use.

An extra ordinary example is the number of very modern schools (both secondary & primary) that he coordinated to be built in his constituency. These are schools that were built or are being built by his own personal initiative (He does fund raising, provides supervision of the projects, and most significantly uses some of the money that he is alleged to have stolen to fund the projects) Click on the link below to see for yourself.If we cant get rid of "Mafisadi", then we should at least encourage them to invest their alleged ill gotten goods into their communities, instead of stashing it in some secret bank account overseas, or buy property in Dubai and London.They can learn from Mkono; spend that money right here at home and that way it will have a multiplying effect creating Jobs, small businesses, real estate etc reaching and touching pretty much every mwananchi. In the end, everyone will benefit and no one will complain that much.


http://www.musomarural.org

What a joke​
That is even worse than say Balal. Nkono is a lawyer who was supposed to fight for the weakest, but instead, he joined the team of the thugs and took away what would have otherwise be used to build schools, clinics, roads etc. What he did is like taking $100 that was meant for $50 school and $50 clinic and in return he gave back $10 school and pocketed $50 clinic and $40 school.

Does that make him a good person or he just bribed people to continue voting for him and make him look good?? There is no good fisadi especialy when it is the one who was supporsed to be their lawyer against say EL.
 
Mkono msanii tu, lakini I like this fallout.Sasa hata Mkono anamgeuka Mkapa?

Akitoa maoni yake, alipendekeza kuwa mikataba yote ya madini nchini ifumuliwe upya ili iwanufaishe Watanzania wote, kuliko hivi sasa ambapo mapato ya madini yanaishia mikononi mwa watu wachache.

Kama yeye mwenyewe vile, right?

Jaji Paul Bomani? Sikujua Mzee wa watu kafufuka na kuukwaa u-jaji.Did they mean Jaji Mark Bomani? Hamna proofreaders?
 
Yesu alipita mahali fulani akamkuta mtoza ushuru mmoja aitwaye Mathayo, akamwambia "nifuate, maana leo nitakula nyumbani kwako". Basi Mathayo akaanda Pilau, ng'ombe, mbege na kila mapochopocho ya kumkaribisha Mwalimu.

Sasa wakiwa mezani Mathayo akasimama na kusema "Bwana, najua mimi ni fisadi, tena fisadi mkubwa tu; lakini nasukumwa na uzalendo na nimeona ubaya wa matendo yangu. Hivyo basi kuanzia sasa ile nyumba yangu ambayo niliijenga baada ya kuchota fedha za Benki yetu Kuu ninairudisha serikalini, na magari niliyojipatia kifisadi narudisha na kama kuna mtu yeyote nilimpora namrudishia mara mbili" Watu wakapiga makofi!

Yesu akamwambia the longtime fisadi, "leo uzalendo umefika kwenye nyumba yako" Ndiyo watu wenye wivu wakashangaa kuona hilo na wakasema mbona anampongeza huyu fisadi? Yesu akawaambia "wazalendo hawahitaji kufundishwa kuipenda nchi bali walio mafisadi"!

Mkono alipomaliza kusoma sehemu hiyo ya Biblia akaamua na yeye kuongoza. Lakini haijajulikana kama atarudisha kitu chochote alichojipatia kiudanganyifu!!!
 
Ikulu ya Ben Mkapa iliibeba Meremeta
Mwandishi Wetu Aprili 9, 2008
Raia Mwema

SASA ni wazi, uongozi wa awamu ya tatu chini ya Rais mstaafu, Benjamin Mkapa ndio ulioshinikiza na kuidhinisha kuanzishwa kwa Kampuni ya Meremeta Gold, inayohusishwa na upotevu wa Sh bilioni 155, ndani ya Benki Kuu (BoT), imefahamika.

Habari za uhakika na nyaraka, zimethibitisha kwamba uongozi huo chini ya Mkapa ulihusika ama kushinikiza moja kwa moja mchakato wa kuanzishwa kwa Meremeta na hatimaye kuitafutia fedha za kufanyia kazi, fedha ambazo hata hivyo sasa zinahofiwa kupotea.

Tayari Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Serikali (CAG), Ludovick Utouh, ametamka kwamba ofisi yake haijawahi kukagua hesabu za Meremeta Gold, na kampuni hiyo tata haimo katika orodha ya makampuni yanayomilikiwa na Serikali ama Serikali kuwa na hisa.

Raia Mwema imeiona barua kutoka Ikulu, iliyoandikwa na aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Matern Lumbanga, kwenda benki moja ya Uingereza, ikieleza kwamba Mkapa kupitia kikao cha Baraza la Mawaziri mwaka 2000, ndiye aliyetoa idhini ya kuanzishwa kwa shughuli za uchimbani dhahabu katika eneo la Tembo na Buhemba, mkoani Mara.

Katika hali isiyo ya kawaida, Ikulu ndiyo iliyobeba jukumu la kuithibitisha na kuitambulisha Kampuni ya Meremeta kwa Deutch Bank AG London, iliyoko nchini Uingereza kwa nia ya kupata mkopo wa uendeshaji wa mgodi huo ambao kwa sasa umefungwa na kampuni hiyo kufilisiwa.

Hii ni kuthibitisha kwamba tunafahamu kuwapo kwa hazina kubwa ya dhahabu nchini Tanzania ambayo haijalinufaisha Taifa na Serikali kupitia Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, ilianzisha mradi wa Meremeta kwa nia ya kununua dhahabu kwa wachimbaji wadogo.

Baadaye mwaka 2000, Rais (Mkapa) kupitia Baraza la Mawaziri aliazimia uchimbaji mkubwa wa chini ya ardhi katika eneo la Tembo na uchimbaji mwingine wa kawaida katika eneo la Buhemba, kaskazini mwa Tanzania,

inaeleza barua hiyo ambayo kivuli chake kimechapishwa ukurasa wa kwanza wa toleo hili, iliyohitimisha kwa kusema kwamba mradi huo utakuwa na manufaa kwa Taifa.

Hata hivyo, katika barua hiyo inatajwa kampuni ya Nedcor Trade Services Limited ya Afrika Kusini kuwa ndiyo iliyotoa mkopo wa fedha za kuanzishia mradi huo chini ya usimamizi wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, iliyokuwa inatajwa sana kuwa mmiliki wa mgodi huo awali kabla ya kubainika kuwapo kwa utata mkubwa.

Akizungumza katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Mashirika ya Umma, Utouh, alisema wazi kwamba Meremeta haimo katika orodha ya makampuni na mashirika ya umma ambayo yamewahi kukaguliwa na ofisi yake, na hivyo kuibua utata mwingine kwa kuwa huko nyuma kampuni hiyo imekuwa ikitajwa kuwa ya umma.

Utata huo unaongezwa na taarifa za kwamba Serikali kupitia Msajili wa Hazina ilitoa cheti ya kuithibitisha Meremeta kuwa kampuni ya umma tokea Oktoba mosi, 1997 baada ya kudaiwa kwamba Serikali ilikuwa na hisa katika kampuni hiyo, hisa zilizokuwa na zinazoendelea kushikiliwa na watendaji wakuu serikalini. Baadhi ya watendaji hao wamo serikalini na wengine sasa wako nje.

Habari zinasema kwamba tayari uchunguzi wa kina umekwisha kuanza kufuatilia hasa zilikokwenda fedha hizo kiasi cha shilingi bilioni 155/- zikiwa ni nyingi zaidi ya zile zilizochotwa BoT kupitia Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA). Sakata la EPA linahusisha Sh bilioni 133/-.

Kwa mujibu wa vyanzo vya habari serikalini, uchunguzi huo umekwenda mbali zaidi baada ya watendaji wakuu ndani ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na Wizara ya Ulinzi na JKT, kupata hisia za kuwapo kwa mikono michafu katika mradi wa Meremeta.

Habari zinasema sakata la Meremeta linaweza kuwa kubwa na zito zaidi kutokana na maelezo ya uwezekano wa kuwapo wahusika wanaofahamika duniani katika biashara chafu na hivyo kuibua mjadala mwingine mkubwa utakaovuka nje ya mipaka ya Tanzania.

Kampuni ya Nedcor Trade Services Limited ya Afrika Kusini, inaelezwa kuwa na uhusiano na benki ya Nedbank ya Afrika Kusini ambako sehemu ya fedha hizo zilipelekwa kutoka BoT. Baadhi ya watumishi wa benki hiyo wamekuwa wakitajwa kuwa wakurugenzi wa kampuni nyingine tata ya Deep Green Finance Limited, ambayo sasa haipo.

Deep Green Finance Limited ilisajiliwa nchini, ikachota fedha kutoka BoT, kabla ya kufilisiwa bila ya maelezo ya kutosha ya madhumuni hasa ya kuanzishwa kwa kampuni hiyo katika kipindi cha kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2005.

Kashfa ya Meremeta inaelezwa kuwa kubwa zaidi ya ile ya EPA kutokana na kwamba uwezekano wa kurejesha fedha hizo ni mdogo kutokana na kwamba ziliingia katika mkondo unaoihusisha zaidi Serikali yenyewe na watendaji wake na wafanyabiashara wa kimataifa.

Tayari Kamati ya Rais inayochunguza sekta ya Madini, chini ya uongozi wa Jaji Mark Bomani, imeufuatilia mradi huo kwa kwenda Buhemba na pia kuwaita watendaji kadhaa wa Serikali akiwamo Gavana wa BoT, Profesa Benno Ndulu, ambaye inadaiwa taarifa hizo zimemshitua.

Kwa mujibu wa Gavana Profesa Ndulu, kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa taratibu za malipo ya fedha hizo za Meremeta ambazo ni zaidi ya zile za EPA zilizolipwa kwa utaratibu wa Dhamana za Hazina (Treasury Bonds).

Jaji Bomani aliliambia Raia Mwema hivi karibuni kwamba Kamati yake haitaficha kitu na kwamba baada ya kutembelea Buhemba na kuchunguza mambo yanayohusiana na mgodi huo, itatoa mapendekezo yake katika ripoti.

Baadhi ya wakurugenzi wa Kampuni ya Meremeta ambao wanaelezwa kuwa katika nafasi hizo kutokana na nyadhifa zao bado wanaendelea kushikilia hisa hizo akiwamo Gavana wa zamani wa Benki Kuu, Dk. Daudi Ballali, ambaye ajira yake ilisitishwa na Rais Jakaya Kikwete.

Tayari kuna habari kwamba kumekuwapo na juhudi za makusudi zinazofanywa na baadhi ya watendaji serikalini ambao wanajipanga kuzuia kuanikwa kwa ufisadi huo mkubwa.

Fedha hizo ambazo zilibadilishwa kuwa Dola za Marekani 131,736,628.73 kwa maelekezo yaliyotolewa Desemba 20, 2005, siku moja kabla ya kuapishwa kwa Rais Jakaya Kikwete, zilihamishwa kwenda Afrika Kusini na kuingizwa Nedbank, na nyingine kuingizwa katika akaunti za kampuni ya Tangold na Meremeta.

Taarifa za wakaguzi zinaonyesha kwamba baada ya ununuzi huo wa dhamana, Benki Kuu ilizibadilisha sehemu ya dhamana hizo kuwa dola za Marekani 118,396,460.36 ambazo zilipelekwa kwenye akaunti moja isiyojulikana ya Nedbank Ltd. ya Afrika Kusini, benki hiyo ikiwa imezipokea fedha hizo kupitia HSB Bank ya New York, Marekani zikitajwa kuwa malipo ya madeni ya kampuni mufilisi ya Meremeta Ltd.

Nyaraka ambazo Raia Mwema imeziona zinaonyesha kwamba sehemu nyingine ya fedha hizo zipatazo Dola za Marekani 13,736,628.73 zililipwa kwa kampuni ya TANGOLD kwenye akaunti ya kampuni hiyo iliyoko Benki ya NBC Corporate Branch, Dar es Salaam.

Mbali ya kamati ya madini na wakaguzi, kwa nyakati tofauti, kuhoji malipo hayo, bado usiri na juhudi kubwa za kufunika masuala hayo zimekuwa zikiendelea kufanywa.

Mwaka jana Mbunge wa Karatu Dk. Willibrod Slaa (CHADEMA), aliliingiza suala hilo katika hoja yake iliyokuja kugonga mwamba baadaye.

Katika hoja yake hiyo, Dk. Slaa alibainisha kwamba Meremeta Ltd. ni kampuni binafsi ya kigeni iliyoandikishwa Agosti 19, 1997 katika kisiwa cha Isle of Man nchini Uingereza na kupewa namba ya usajili 3424504, ikimilikiwa na TRIENNEX (PTY) LTD ya Afrika Kusini yenye asilimia 50 ya hisa za kawaida na Msajili wa Hazina (Treasury Registrar) akiwa na asilimia 50.

Kwa upande wa Tanzania, Dk. Slaa alisema Meremeta ilipewa Hati ya kutimiza masharti (Certificate of Compliance) Oktoba, 1997 lakini akasema kwamba Meremeta ilifilisiwa Uingereza Januari 2006.

Hata hivyo, Dk. Slaa ameeleza kwamba pamoja na kampuni hiyo kufilisiwa nchini Uingereza, hakuna ushahidi kuwa kwa upande wa Tanzania kampuni hiyo imefilisiwa au la kutokana na kutajwa katika marejeo mbalimbali kuwa moja ya makampuni yanayozalisha dhahabu.

Taarifa na takwimu muhimu kuhusu Sekta za Nishati na Madini, ya Julai, 2007, inaonyesha kuwa Meremeta bado inafanya kazi, na inazalisha tani 2.27 za dhahabu. Kama Serikali inasema Meremeta imefilisiwa na mali zake kuhamishiwa TANGOLD hali hii inaelezwa vipi? Taarifa hizi za utata zinaashiria nini? alihoji Dk. Slaa.

Maelezo mengine yanayoibua utata zaidi na ambao Kamati ya Rais inayopitia mikataba ya madini itapata wakati mgumu kuitolea taarifa ni kuhusu Meremeta kudaiwa kuwa ni kampuni iliyoanzishwa kwa lengo la kusaidia JWTZ, Kikosi cha Nyumbu wakati ikiwa imeandikishwa nje ya nchi.

Taarifa ya awali ya wakaguzi waliokagua BoT, Juni 2006, iliibua sakata hilo la Meremeta pamoja na kashfa nyingine lakini haikuweza kufahamika ripoti hiyo ya wakaguzi ilivyoyeyuka na kutoanikwa hadharani kabla ya wakaguzi wengine wa nje kuibua suala la EPA pekee miongoni mwa uchafu mwingi ndani ya BoT na serikalini.

Taarifa hiyo ya wakaguzi ilibainisha kwamba Serikali ilitoa fedha hizo kiasi cha Sh. bilioni 155 kwa njia ya dhamana ya hazina ambayo inatakiwa kulipiwa riba ya asilimia 14.92 kila mwaka lakini hakukuwa na makubaliano yoyote rasmi kati ya Serikali na Meremeta hali inayoibua zaidi utata na kuonyesha hakuna njia yoyote ya kuweza kuzipata fedha hizo.

Ndani ya BoT bado kuna mianya mingi ambayo huenda ikaendelea kuibuka siku hadi siku hususan baada ya Bunge kuonyesha njia kwa kushughulikia sakata la umeme wa dharura uliokabidhiwa kwa kampuni ya Richmond Development LLC ya Marekani, sakata lililosababisha kuanguka kwa mawaziri watatu akiwamo aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa.

Wakati hayo yote yakiendelea, imefahamika kwamba Kamati ya Rais inayochunguza sekta ya madini, inatarajiwa kukabidhi ripoti yake wiki hii lakini Raia Mwema halikuweza kujua undani wa taarifa hiyo kutokana na usiri mkubwa wa yanayojiri ndani ya kamati hiyo.
 
Tutafika wakati ambapo utakuta kila unayemgusa either ana kasoro au ni FISADI.

Kuna mtu mmoja alisha sema pesa walizonazo viongozi wa nchi masikini ni kubwa muno hata hazilingani na viongozi wa nchi zilizoendelea pamoja na kwamba wao ni maili ktk kuomba misaada kutoka nchi zilizoendelea.

Ukisoma taarifa kama hizi huna haja ya kuendelea kuuliza. Conclusion yake inaonyesha sisi hatuna watawala hila tuna majambazi waliojivika kilemba cha utawala.
 
du mi hadi naogopa jamani siku zinavyozidi kuongezekaa..ndioo mambo yanapokuwa hadharani...jamani nyie tutafika wapi??jamani nyieee.......
 
Inafurahisha kuona Ikulu yetu imekuwa wazi kiasi cha Document za wakuu zinaanikwa ktk magazeti!!!!

Ipo siku tutaona picha wakuu wakiwa wamelala usingizi vyumbani huko ikulu nazo magazetini,hii ni hatari kuliko salama.
 
Inafurahisha kuona Ikulu yetu imekuwa wazi kiasi cha Document za wakuu zinaanikwa ktk magazeti!!!!

Ipo siku tutaona picha wakuu wakiwa wamelala usingizi vyumbani huko ikulu nazo magazetini,hii ni hatari kuliko salama.

Kwani ikulu ikiwa wazi wewe una wasiwasi gani maana hazikai pesa pale na hakuna mtu mwenye haja ya kuiba ikulu wasiwasi mkubwa nilio nao ni mbona benk kuu imekuwa wazi sana kiasi kila mtu anajichotea anavyotaka? au ndiyo maana kipindi fulani iliandikwa kuwa watendaji wote wa benk kuu wana uhusiano na viongozi wakuu wa serikali kwa hiyo hata wananchi walipe vipi kodi haisaidii maana kodi hizi wanagawana watu kama 20 hapo tanzania. na ndiyo maana kila anayeingia hapo ikulu hupagawa na huo mgawo na kusahau ahadi zote alizotoa kwa wananchi.

Wewe ulitegemea mkapa angefanya aliyoyafanya jinsi tulivyomwamini na tena alitukabidhi Mwalimu na akasema ni mr clean au unaweza kufikiri unaota kwa mambo ambayo jk anayafanya sasa hivi maana kabla ya kuchaguliwa alikuwa ni kipenzi cha wananchi, angalia jinsi alivyowageuka you can't believe
 
Wale waandishi wa Vitabu vya ukombozi wa tanzania itakuwa siyo Busara kama Jina la Dr. Slaa litakosa ktk Vitabu hivyo. Huyu ni Mtanzania ambaye anatakiwa kuwekwa ktk Historia ya Taifa kwa kusimama kidete bila kutetereka na kutoa kauli nzito juu ya Mafisadi.

Kila alicho kisema sasa hivi kinadhihirika ni kweli.

Mungu ambariki mpiganaji huyu. Maana ilikuwa rahisi kupigana na Mkoloni Mweupe kuliko Mkoloni Mweusi.
 
TanGold ndio ilikuwa inaongozwa na Chenge, Anna Muganda na Daudi Balali?
 
DR SLAA said it kuwa hawa ni kampuni binafsi tena lililosajiliwa huko Uingereza sasa hapa kuna haja ya kujua kuwa source alikuwa slaa.
 
Nakumbuka jibu la Kikwete alipoulizwa swali, kwanini Tanzania inaendelea kuwa masikini licha ya kuzalisha dhahabu (third producer in Africa), kuwa na wawekezaji katika sekta mbalimbali, nk akajibu SIJUI.
 
Back
Top Bottom