Merry Christmas & Happy New Year 2026 Great Thinkers! Tupeane location sasa

Wale wote waaminio na wasioamini, Yesu Kristo akazaliwe upya mioyoni mwenu, tumieni sikukuu hizi kama tafakuri wapi mlianguka na wapi mlifanikisha ili kujenga kesho bora,kutoa misaada na kuwa karibu na familia zenu,punguzeni zinaa,ulevi nk,Mungu akujaalie mwaka mwema na wa mafanikio 2026, Merry Chrismas jamii forums members wote. Ujumbe, nawapenda sanaaaa
 
Tunakupenda pia Jenerali
 
😋😋😋
giphy-downsized.gif
 
Back
Top Bottom