G
guest-1790917349
Guest
Pastor yupi tena?Pasta hajambo lakini
Mi m-kkkt
Huku hatuna mambo ya baba sijui kuwa karibu na Pastor
Pastor tunamuona mbele tu akiongoza ibsda basi
Hahaa
Pastor yupi tena?Pasta hajambo lakini
Hapo sawa mremboPastor yupi tena?
Mi m-kkkt
Huku hatuna mambo ya baba sijui kuwa karibu na Pastor
Pastor tunamuona mbele tu akiongoza ibsda basi
Hahaa
Unamaanisha Great thinkers wao hawanaga mambo ya sikukuu kabisa?Naffikiri ungefuta neno "GREAT THINKER" hapo
kwani hilo linahusika kwenye mijadala mizito mizito inayo hitaji critical thinking
Nilikuwa rombo mimi nakamua mbege na kupika machalari mbe,
Hujarudi na maparachichi maana nimeyamisi sana.Nilikuwa rombo mimi nakamua mbege na kupika machalari mbe,
Hahahahah nakuja na ndege mzee 😂Hujarudi na maparachichi maana nimeyamisi sana.