Merry Christmass from Mo Salah

[emoji16][emoji16][emoji16].mbona mnajishtukia?
Alafu hatuna hata habari.
Atajuana na MUNGU WAKE.
kwani yesu alizaliwa tarehe 25 mwezi wa 12?
Mohammed Salah ana akili kubwa, wale Waislam wa Tandale na magomeni wakishashiba wali wa manjano watakuja kujambia hii mada

Subiri tu chakula kimeng'enywe vizuri huko tumboni mwao
 
[emoji16][emoji16][emoji16].mbona mnajishtukia?
Alafu hatuna hata habari.
Atajuana na MUNGU WAKE.
kwani yesu alizaliwa tarehe 25 mwezi wa 12?
Aidha alizaliwa tarehe hiyo au la...that doesn't bother much, ndiyo maana ikaitwa maadhimisho / kumbukumbu hata kama ilikuwa setted na binadamu as long as ni jambo jema kwetu shwaari Sheikh

Kwani Maulid ya kuzaliwa kwa Mtume mna uhakika nayo?
 
Sasa kwanini mnashangilia SIKUKUU YA UONGO
mmeshindwa vipi kujua tarehe sahihi ya kuzaliwa kwa yesu?
Aidha alizaliwa tarehe hiyo au la...that doesn't bother much, ndiyo maana ikaitwa maadhimisho / kumbukumbu hata kama ilikuwa setted na binadamu as long as ni jambo jema kwetu shwaari Sheikh

Kwani Maulid ya kuzaliwa kwa Mtume mna uhakika nayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…