mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Nimeona maustadhi wamemnanga sana sana huko.
Wewe ndio huwezi, wenzio wanaweza...kwahiyo Mo Salah sio Muislam?Muislam HAWEZI KUSHEHEREKEA KUZALIWA KWA MUNGU WA WAKRISTO.
huko Ni kumshirikisha mwenyezi mungu.
Hujajibu swali langu kuhusu Maulid ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad, mna uhakika na tarehe aliyozaliwa?Bila Shaka wako sahihi.
Maana kwa Imani ya wakristo yesu Ni MUNGU au mwana wa MUNGU.
Sasa muislam unaposheherekea hyo sikukuu inamaanisha unakubaliana na ITIKADI yao.
Wewe ndio huwezi, wenzio wanaweza...kwahiyo Mo Salah sio Muislam?
Basi sawa. Ndio huyo hapo sasa mbele ya Christmas tree na familia yakeLa hasha!.sijasema sio muislam..
Hujajibu swali langu kuhusu Maulid ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad, mna uhakika na tarehe aliyozaliwa?
Basi sawa. Ndio huyo hapo sasa mbele ya Christmas tree na familia yake
Mo salah atawachoma muslims nimeona hata dj khaled kaweka bonge la mti christmas sasa povu litawatoka sana muslims
Naona ule utabiri Wa mdau hapo juu kwamba mleta mada ajiandae unatimia!Muislam HAWEZI KUSHEHEREKEA KUZALIWA KWA MUNGU WA WAKRISTO.
huko Ni kumshirikisha mwenyezi mungu.
Kama umemsikiliza Habiba Khanom, journalist wa Uingereza alipohojiwa kwa swali kuwa ''Je kusherehekea Christmas ni dhambi? Alijibu kwa maandishi hivi :
View attachment 1659967View attachment 1659968
Hujajibu swali langu kuhusu Maulid ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad, mna uhakika na tarehe aliyozaliwa?
Naona ule utabiri Wa mdau hapo juu kwamba mleta mada ajiandae unatimia!
Salah Kwan dini gani? Usikute anakiuka maagizo
Dubai Wana hela na wanajielewa, tatizo.lipo huku kwetu Kisiju hatuna hela wala hatujielewi.Huko dubai miti ya christmas ipo kila kona
AiseeKwa ninavyosikia Mo Slah sio muislamu kivilee, maana tunaambiwa huko UK huwa anatafuna Pork na kupiga alcohol vizuri tu.
Ajabu boko haram wakiteka watu,mwalimu akichinjwa ufaransa,mtu akijilipua maistadh wanakaaga kimya...ila mtu kusherehekea na familia yake wanalipuka mtandaoniNimeona maustadhi wamemnanga sana sana huko.
Wait! So siku ya mazazi ya mtume sio sikukuu?!?!Kwenye uislam sikukuu ni mbili tu ambazo ni sikukuu za eid mbili hizo zingine zote uzushi na hazipo. Hakuna maulid wala birthday
Wait! So siku ya mazazi ya mtume sio sikukuu?!?!