Kwanini tuna sheherekea na maulamaa hawatii neno?Ndio jibu sahihi
Kwanini tuna sheherekea na maulamaa hawatii neno?
NimekupataWapo wanaotia neno na wapo maulamaa wa mataminio ambao wanajua kweli ila kwa maslahi ya dunia yao wanaona sawa. Hvyo ndio uhalisia
Sasa mbona Waislam mnasheherekea Maulid?Kwenye uislam sikukuu ni mbili tu ambazo ni sikukuu za eid mbili hizo zingine zote uzushi na hazipo. Hakuna maulid wala birthday
Ulikuwepo siku hiyo akizaliwa?Alizaliwa tarehe 17.rabil awwal
Tena ungejua mkewe ni Muislam haswaaHayo sio mapenzi yake.
Hapo ameshikiwa akili na mkewe
Haya ni yakwako sio ya Mo SalahHabiba sio Mtume rehma na amani ziwe juu yake wala swahaba wala tabii wala sii sheikh miongoni mwa mashehe wa kutumainiwa, lakini lipo wazi uislam hauna ushirikiano na dini yoyote ya kikafiri, anayesemaga maneno hayo ni either hajui au mnafiq, wenye suratul fatiha anaomba dua asiangamie wala kupotea kama wakristo na manaswara, kwenye suratul kafirun anawakataa iweje aje hapo aongee mashirikiano kwenye sikukuu za kumkufuru Allah?
Ulikuwepo siku hiyo akizaliwa?
Una ushahidi gani kuwa alizaliwa siku hiyo?
Tena ungejua mkewe ni Muislam haswaa
Muislam ni Muislam hakuna wa kisasa na wa kizamaniSio KWELI.
labda muislam wa kisasa
Vitabu kuandika sio ushahidiVitabu vya tareh ndivyo vilivyoandika
Vitabu kuandika sio ushahidi
Muislam ni Muislam hakuna wa kisasa na wa kizamani
Acha uongo we muislam wa MafiaMuhammad mwenyewe kipindi chake HAJAWAHI KUSHEHEREKEA Xmas
Daa!!! Watu wana maneno!!Mohammed Salah ana akili kubwa, wale Waislam wa Tandale na magomeni wakishashiba wali wa manjano watakuja kujambia hii mada
Subiri tu chakula kimeng'enywe vizuri huko tumboni mwao
Acha uongo we muislam wa Mafia
Alisherehekea birthday yake yaani Maulid?Muhammad mwenyewe kipindi chake HAJAWAHI KUSHEHEREKEA Xmas
Alisherehekea birthday yake yaani Maulid?
Hivi unaposema Mustafa unammaanisha Muhammad (S.A.W) ?Bila Shaka.hata wewe si uwa unasheherekea siku yako ya kuzaliwa?.
Kwanini Mustafa asifanye?