A
Usha jaribu kuji organize balozi, wazee na mwenyekiti wa Kijiji kumwambia tabia sio nzuriii aache mara moja.Habari za kwenu?
Kuna mwalimu wa kiume wa sekondari ya Nkoasenga anaitwa Alb.... (jina limefupishwa) katika kijiji cha Nkoasenga wilaya ya Meru, kata ya Leguruki mkoa wa Arusha anafanya biashara haramu ya kuuza bangi kwenye baa yake.
Wanafunzi wa sekondari nao huenda katika baa hiyo kununua bangi.
Tabia zake hizo zimekuwa zinaathiri wakazi na watoto wa kijiji hiki kwa kuuza bangi kwenye baa yake kwa wanafunzi na vijana wetu.
Pili vijana wengi wa kijiji hiki wameathirika na bangi anazouza huyu mwalimu. Sisi tukiwa ni wakazi wa kijiji hiki tumechoka na tabia zake zisizo na maadili na kuondoa maadili ya jamii yetu ya watu wa Meru.Tunaomba sheria ichukue mkondo wake na ahamishwe kijini kwetu.
Tunaomba mamlaka za kupambana na dawa za kulevya na idara ya elimu wafanye uchunguzi kubaini suala hili.
Wazazi tumechoka na tabia yake ya uuzaji wa bangi.
Meru bila bangi inawezekana.
Mwalimu ni maadili na haiba.
Mbona hujawahi kuanzisha mada kuhusu Ufisadi na wizi wa Pesa za umma?Habari za kwenu?

Unaweza kukuta Mwalimu nae ni member humu na kwa Uzi huu lazima atapoteza ushahidi mapema sana.Usha jaribu kuji organize balozi, wazee na mwenyekiti wa Kijiji kumwambia tabia sio nzuriii aache mara moja.
By the way uvutaji bangi sio mzurii na siuungi mkono kwa vyovyotee ila bangi ukiitumia vizuri na ukivuta kwa kuchangamsha ubongo bangi ni nzuriii sanaa.
Jamii forum ni LIKIJIJI LIKUUBWAAA mnoo 😁 for sure mwalimu anaenda kufikiwa ni jambo la mudaaa TU.
Huyu anayetuambia huku alishindwa nini kushitaki katika kituo cha Polisi kilicho karibu nae, au kupeleka umbea kwenye uongozi wa shule au wa kijiji?....si anamfahamu mpaka jina?Unaweza kukuta Mwalimu nae ni member humu na kwa Uzi huu lazima atapoteza ushahidi mapema sana.
Lazima atajipanga tu,au kuna wateja wake wamo humu,watamshtua tu.
Upo sahihi kabisa Mkuu,Huyu anayetuambia huku alishindwa nini kushitaki katika kituo cha Polisi kilicho karibu nae, au kupeleka umbea kwenye uongozi wa shule au wa kijiji?....si anamfahamu mpaka jina?
Hatari yenyewe, ujumbe umetumwa usiku wa mananeHatari sana ujumbe uwafikie mamlaka husika
Ni kweli lazima apoteze vizibiti Kuna dogo mmoja alimuazima jamaa kabegi kadogo ka mgongoni jamaa AKAWA anasafirisha bangi kwenye kibegi jamaa wakamchomaa akawatoroka polisi wa patrol nakile kibegi siku ya siku yule mwenye kibegi amekatiza nacho mitaani patrol wakamuona wakamuweka chini ya ulinziiUnaweza kukuta Mwalimu nae ni member humu na kwa Uzi huu lazima atapoteza ushahidi mapema sana.
Lazima atajipanga tu,au kuna wateja wake wamo humu,watamshtua tu.
Hatari yenyewe, ujumbe umetumwa usiku wa manane