Emok Jr
JF-Expert Member
- Mar 17, 2018
- 1,094
- 800
yeahhh babaaa!!!
Ipo kama ifuatavyo leo nimekutana na gari ya matangazo wakitangaza show ya msanii meseni selekta itakayofanyika mpemba-Tunduma cha ajabu na kusikitisha meseni alikuwa anafuata nyuma akiwa juu ya Alphard akiuza sura.
Sasa watu tayari tulishamuona hii inampunguzia mashabiki watakao enda kucheki show yake.
Nawasilisha.
#Emok jr