Meseni Selekta hapo ndo unafeli mzee baba!!

Emok Jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2018
Posts
1,094
Reaction score
800
yeahhh babaaa!!!

Ipo kama ifuatavyo leo nimekutana na gari ya matangazo wakitangaza show ya msanii meseni selekta itakayofanyika mpemba-Tunduma cha ajabu na kusikitisha meseni alikuwa anafuata nyuma akiwa juu ya Alphard akiuza sura.

Sasa watu tayari tulishamuona hii inampunguzia mashabiki watakao enda kucheki show yake.

Nawasilisha.
#Emok jr
 
Wasalimi mpemba
 
Mbona Mondi huko Mombasa kazungushwa akiwa juu ya gari na nyomi litajaa tu, huko vijijini wakmuona msanii ndipo wanaamini kuwa yupo kweli
 
mzee babaa,, huku kwetu bila kumuona kabisa kabisa msanii kwanza hatuingii ukumbini ng'o,,
tuahapigwa sana viingilio vyetu na wahuni,,
 
Kweli, kama hawajamuona kabisa Live kwanza, hawatakuja, watajua unawadanganya.
 
Promoters wa vijijini wamekuwa na tabia ya kuleta wasanii feki(replica) hususani hawa wasio maarufu sana kama Mensen Selekta. Sasa baada ya raia kuishtukia ndio maana ili upate watu wa kuingia lazima umtembeze msanii watu wa confirm kuwa ni yeye na sio replica
Ndiyo Ndiyo.
 
Kwa mikoani mara nyingi hua inafanywa hivyo ili watu wajue kua ni kweli huyo msanii atakuepo. Hii inasaidia (siamini) kupunguza upigaji kutoka kwa mapromota makanjanja.
 
Nilijua kaua au kauza wimbo wa mtu kumbe hilo.....hiyo kawaida sana
 
mzee babaa,, huku kwetu bila kumuona kabisa kabisa msanii kwanza hatuingii ukumbini ng'o,,
tuahapigwa sana viingilio vyetu na wahuni,,
tuahapigwa=tunapigwa
 
Back
Top Bottom