Message kibao kwa RAIA wakati wezi mnawajua, TAKUKURU acheni maigizo

Message kibao kwa RAIA wakati wezi mnawajua, TAKUKURU acheni maigizo

Mashamba Makubwa Nalima

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2024
Posts
7,656
Reaction score
3,785
Yaani simu yangu inashindwa kupokea sms mpya kwasababu ya kujaa kwa hizo messages zenu. Hivi nyie mnafikiri sisi wagombania mwendokasi tunaweza kuiba hizo billions, sisi wahangaika na maji ya mtoni tunaweza iba na kufanya ufisadi wa namna hiyo.

Achani mara moja hii kitu, naongea tena FANYENI KAZI yenu, Acheni maigizo
 
Accountability, Accountability, Accountability.

kama umeshindwa kuwa accountable na matendo yako, huna haki ya kumuwajibisha mtu mwengine kwa accountability yake.

Serikali Mjitafakari, TAKUKURU mjitafakari, POLISI mjitafakari, JWTZ tujitafakarim, Magereza Mjitafakari, Usalama wa Taifa Mjitafakari.
Watanzania TUjitafakari, RAIA Mjitafakari,

MJIFAFAKARI NA KUJIFANYIA TATHMINI
 
Kila nkitazama simuoni mtu wa kuandamana
 

Attachments

  • brown_mwamposa_0183665b47cf4a7394fc0423c17c2e2d.mp4
    900.6 KB
Mie huwa napiga block baada ya kupokea ujumbe mara moja tu.

SITAPELIKI,JIANDIKISHE,UCHAGUZI,DIRA etc wote hao wapo kapuni.
 
Yaani simu yangu inashindwa kupokea sms mpya kwasababu ya kujaa kwa hizo messages zenu. Hivi nyie mnafikiri sisi wagombania mwendokasi tunaweza kuiba hizo billions, sisi wahangaika na maji ya mtoni tunaweza iba na kufanya ufisadi wa namna hiyo.

Achani mara moja hii kitu, naongea tena FANYENI KAZI yenu, Acheni maigizo
Tz bwana vichekesho ni vingi
 
Oyaah wewe hawajakukasirisha Mimi hii mijamaa inaniboa sana sijuhi ripoti tukio la rushwa kwa namba hii wapi michezo tu
 
Back
Top Bottom