Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HuhThe super musculine rocket..[emoji41]
Atarudi lakini...tatizo na nyinyi mnataka kuwashiwa kila siku..Ndio katekwa
Kwani uongooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ana like tu!!
Mi nimemsamehe kaka angu!bahati mbaya ipo!!!
Sakayo[emoji115] [emoji115]Nilikuwa lije jimbo la vurugu - south Sudan.
kama yupo unaemfahamu sio mbaya ukinijuza vigezo ninavyo urefu uko pia ukijumuisha pua ndefu vinginee mbele ya safari[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
HahahaNikimjibu atatupa simu...
Mjibu wewe. Mwambie mmeo hapendi...
Ndo umetafutiwa msaidiziAtarudi lakini...tatizo na nyinyi mnataka kuwashiwa kila siku..
Hela zitatafutwa lini..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mwalimu halafu Dada ake!!!.loohh!Hahaha
Anajionea aibu eeeh!! Yeye kaona kuliko asimame na mie afadhali amuimbishe mwalimu tena mbele yangu!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani uongooo
Ushaanza kuniuza na wwTumosa
Hapana...Aliaga kwenda kutekwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapa imebidi nicheke wallahYaani mtu anapotea kwa miezi halafu anarudi ka mlikuwaa wote jana usiku
My Eli79 si ulinigeuka wewe ukaanza kumuimbisha mwalimu tena mbele yangu aki, hivi unadhani nimejisikia vipiNiende wapi, kwa hiyo umeamua kuwa team moja na rayna?