Message to my love Mwifwa

Message to my love Mwifwa

Mwifa ni wakati sasa wa kununua/kuongeza kiwanja kwa ajili yenu.

Na wana jf wote.


Kiwanja kinauzwa kipo Tegeta Nyakasangwe, karibu na shule ya NuruNjema nursery & Primary school.

Kiwanja kimepimwa ila hati bado hatujakabidhiwa, kuna nyaraka za serikali za mitaa.

Urefu wa kiwanja ni mita 37
Upana wa kiwanja ni mita 23

Bei 19M.

PM kwa serious buyers
Karibuni

View attachment 776429View attachment 776434
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom